Ticker

6/recent/ticker-posts

JE KUNA MADHARA YOYOTE BAADA YA MTOTO KUNYWA MAJI YA UZAZI?(amniotic fluid)



 MAJI YA UZAZI

• • • • •

JE KUNA MADHARA YOYOTE BAADA YA MTOTO KUNYWA MAJI YA UZAZI?(amniotic fluid)


Watu wengi husema mtoto akinywa maji ya uzazi ambayo kwa kitaalam hujulikana kama Amniotic fluid anapata madhara makubwa, je dhana hii ina ukwel ndani yake? soma hapa


FAHAMU; Yale maji ya uzazi au amniotic fluid mtoto huweza kunywa na yana faida katika kuweka sawa mfumo wa chakula kwa mtoto yaani gastrointestinal track, 


Madhara hutokea endapo mtoto kanywa maji ya uzazi ambayo yamechanganyika na kinyesi chake(meconium aspiration) hali ambayo huleta athari kwenye mfumo wa hewa, 


Mchanganyiko huu husababisha vichembechembe vidogo vya uchafu wa mtoto kuweza kupita njia ya hewa na kuziba, tatizo ambalo humsababisha mtoto ashindwe kupata hewa ya oxygen na kutoa hewa ya Carbondioxide.


Tafiti zinaonyesha kwamba tatizo hili hutokea kwa asilimia 10% ya watoto wanaozaliwa, mama akiwa na ujauzito wa umri wa wiki 37-41 pamoja na wale ambao wamepitiliza umri wa kawaida wa wiki 42 yaani kwa kitaalam Postterm pregnancy.



KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.






Post a Comment

0 Comments