Ticker

6/recent/ticker-posts

 


MADHARA AMBAYO MTU HUWEZA KUYAPATA BAADA YA KUNG'ATWA NA KUNGUNI(bedbugs)



 KUNGUNI

• • • • • •

MADHARA AMBAYO MTU HUWEZA KUYAPATA BAADA YA KUNG'ATWA NA KUNGUNI(bedbugs) 


Kunguni ni wadudu wadogo ambao chakula chao kikubwa ni damu, wadudu hawa huweza kunyonya damu kutoka kwa binadamu au wanyama mbalimbali


Kunguni wanapenda kukaa mazingira ya kujificha kama kwenye godoro,kitanda,chaga za kitanda,kwenye kapeti,kwenye nguo n.k


Kunguni hupenda sana kunyonya damu hasa wakati wa usiku ukiwa umelala


MADHARA AMBAYO MTU HUWEZA KUYAPATA BAADA YA KUNG'ATWA NA KUNGUNI(bedbugs) 


- Mtu kupatwa na miwasho mwilini


- Ngozi yako ya mwili kuwa na madoa doa au alama za kung'atwa


- Mtu kukosa usingizi na kutokulala vizuri


- Mtu kuanza kukonda

n.k


Kunguni hupenda sana kukaa kwenye mazingira machafu, na huweza kukung'ata sehemu yoyote ya mwili wako kama vile; usoni,mikononi,mgongoni n.k


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA JUU YA TATIZO LOLOTE TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.






Post a Comment

0 Comments