Ticker

6/recent/ticker-posts

MADHARA YA KUFANYA MAPENZI KINYUME NA MAUMBILE



 AFYA TIPS

• • • • •

MADHARA YA KUFANYA MAPENZI KINYUME NA MAUMBILE


Madhara ya kufanya mapenzi kinyume na maumbile ni pamoja na;


- Kujiweka kwenye hatari ya kupata magonjwa mbali mbali ikiwa ni pamoja na virusi vya ukimwi kutokana na kupata michubuko sehemu ya haja kubwa


- Kulegea kwa misuli ya haja kubwa hivo kusababisha mtu kuwa na tatizo la kinyesi kutoka chenyewe bila kujizuia


- Kuwa katika hatari zaidi ya kupata tatizo la Bawasiri( nyama kutokeza sehemu ya haja kubwa)


- Kupatwa na maambukizi mbali mbali ya magonjwa kama vile; maambukizi kwenye mfumo wa mkojo yaani UTI


- Kuwa katika hatari ya kupata magonjwa mbali mbali ya Zinaa


- Kuwa katika hatari ya kupata tatizo la kansa kwenye njia ya haja kubwa kutokana na mashambulizi ya virusi vya Human papilloma virus(HPV)


- Kuwa katika hatari ya kupatwa na tatizo la homa ya Ini


- Kukosa raha wakati ukifanya mapenzi kawaida


- Kuathiriwa au kuwa addicted na kitendo hiki


- Kuwa katika hatari ya Kupata tatizo la Fangasi


- N.k




KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.







Post a Comment

0 Comments