MADHARA YA KUWEKA LIMAO UKENI

 LIMAO

• • • •

MADHARA YA KUWEKA LIMAO UKENI


Wanawake wengi siku hizi huweka limao ukeni kwa lengo la kutibu magonjwa kama Fangasi ukeni, kujisafisha n.k 


Lakini matumizi ya vitu hivi sio salama kwa afya yako. Je unafahamu madhara yaliyopo baada ya kuweka limao ukeni?


MADHARA YA KUWEKA LIMAO UKENI


Yafuatayo ni baadhi ya madhara ya kuweka limao ukeni;


- Kubadilisha hali ya kawaida ya sehemu za siri kutokana na kuongeza kiwango kikubwa cha Tindikali


- Kuleta athari kwenye eneo la shingo ya uzazi


- Mwanamke kuwa katika hatari ya kuchubuka sehemu zake za siri hasa wakati wa tendo la ndoa na kuwa katika hatari ya kupata magonjwa mbali mbali ya zinaa ikiwemo Ugonjwa wa Ukimwi


- Kushusha ulinzi na kinga sehemu za siri na kumuweka mwanamke katika hatari ya kupata magonjwa mbali mbali kama vile; Fangasi n.k


- Mwanamke kuwa katika hatari ya kupata Kansa ya shingo ya kizazi yaani Cervical cancer


- Kuwa katika hatari ya kusambaza magonjwa mbali mbali katika sehemu hii kutokana na matumizi ya Limao katika kujisafisha kwa kiasi kikubwa


- N.k


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.




0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!