UKE
• • • • • •
TATIZO LA KUTOKWA NA MAJI YENYE HARUFU MBAYA UKENI(mwanamke)
Tatizo hili la kutokwa na maji yenye harufu mbaya hutokea kwa wanawake wengi, huku wengi wao wasijue cha kufanya kutatua shida hii na wengine wakiona ni kawaida hali itakaa sawa.
maji haya huweza kutoka kila mara hadi kuwa kero kwa mwanamke
CHANZO CHA TATIZO LA KUTOA MAJI YENYE HARUFU MBAYA UKENI
- Kwa asilimia kubwa chanzo kikubwa cha tatizo hili ni maambukizi ya magonjwa kwenye via vya uzazi vya mwanamke yaani PID,
japo pia baadhi ya magonjwa kama fangasi ukeni,saratani ya shingo ya kizazi n.k huweza kuchangia pia
- Lakini pia mabadiliko ya gafla ya vichocheo mwilini huweza kusababisha kiwango cha maji ndani ya uke kuongezeka,ingawaje maji haya hayawezi kuwa na harufu mbaya.
Kama una tatizo hili la kutoa maji yenye harufu mbaya nenda hospital kufanya vipimo,kisha anza matibabu
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!