LEISURE SICKNESS
• • • • • •
UGONJWA WA LEISURE SICKNESS(chanzo,dalili na tiba)
leisure sickness ni ugonjwa ambao huhusisha mtu kuumwa akiwa kipindi cha likizo au wikiend tu,
Baada ya tafiti mbali mbali kufanyika ndipo psychologists wa Kidutch Ad Vingerhoets na Maaike Van Huijgevoort wakagundua ugonjwa huu wa Leisure Sickness mwaka 2001.
Ugonjwa huu huhusisha mtu kuumwa kipindi cha holiday tu au siku za wikiend huku siku zingine akiwa safi hana tatizo lolote,
Hata hivo baadhi ya tafiti zimehusisha ugonjwa huu na matukio mbali mbali ya kimaisha ambayo huweza kumpata mtu, maswala ya ndoa na mahusiano, kupata kazi mpya n.k
DALILI ZA UGONJWA WA LEISURE SICKNESS
- Mtu kupata maumivu makali ya kichwa
- Kuhisi kichefu chefu pamoja na kutapika
- Mwili kuchoka kupita kawaida
- Mtu kupatwa na hali ya hofu na wasiwasi bila kujua chanzo chake
- Mtu kupata mafua makali
- Mtu kukosa usingizi kabsa
- Kupata maumivu ya viungo,joints na misuli ya mwili
BAADHI YA SABABU AMBAZO HUCHANGIA KUWEPO KWA UGONJWA HUU NI PAMOJA NA;
• Mtu kufanya kazi kupita kiasi
• Kuwa na msongo wa mawazo
• Matatizo ya kwenye ndoa na mahusiano
• Matukio mbali mbali ya kimaisha kama misiba n.k
• Mtu kuanza kazi mpya
• Kusubiri likizo au wikiend na kuiwaza muda wote kupita kawaida
MATIBABU YA TATIZO HILI
- tiba ya tatizo hili hutegemea na chanzo chake, hivo kwa ujumla wake fanya mambo yafuatayo;
✓ hakikisha unapata muda wa kutosha wa kulala
✓ hakikisha unapata muda wa kutosha wa kumpumzika
✓ Epuka kuwa na msongo wa mawazo
✓ Tumia dawa mbali mbali za maumivu kama paracetamol n.k
✓ Badilisha mtazamo wako kuhusu kazi yako
✓ Fanya mazoezi ya mwili
n.k
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!