VITU AMBAVYO HUWEZA KUATHIRI AFYA YA UZAZI KWA MWANAUME

AFYA YA UZAZI KWA WANAUME

• • • • • • •

VITU AMBAVYO HUWEZA KUATHIRI AFYA YA UZAZI KWA MWANAUME


1. Matumizi ya baadhi ya dawa za kutibu magonjwa mbali mbali


2. Ulevyi au unywaji wa pombe kupita kiasi


3. Mlo au lishe yake ya kila siku


4. Tabia ya uvutaji wa sigara


5. Tabia ya upigaji wa punyeto (Soma zaidi hapa...!!!)


6. Kazi anayofanya kila siku


7. Magonjwa shambulizi kama fangasi, Uti n.k


8. Tatizo la Tezi dume pamoja na kansa zingine kama kansa ya korodani n.k


9. Tatizo la uzito pamoja na unene kupita piasi


10. Matumizi ya dawa za asili kwa lengo la kuongeza uwezo wa kufanya tendo la ndoa, kama vile; dawa maarufu kwa jina la Vumbi la Kongo

n.k


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.




0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!