Ticker

6/recent/ticker-posts

VITU VYA KUZINGATIA ILI KUJIKINGA NA UGONJWA WA VIDONDA VYA TUMBO



VIDONDA VYA TUMBO

• • • • •

VITU VYA KUZINGATIA ILI KUJIKINGA NA UGONJWA WA VIDONDA VYA TUMBO


1. Epuka tabia ya kukaa na njaa kwa muda mrefu bila kula chakula


2. Dhibiti kiwango cha mawazo na epuka sana kuwa na msongo wa mawazo mara kwa mara


3. Epuka kula vitu ambavyo huwasha tumbo mara kwa mara kama vile; vyakula ambavyo vina viungo vingi sana,pilipili kwa wingi n.k


4. Epuka unywaji wa pombe kupita kiasi


5. Epuka uvutaji wa sigara


6. Fanya mazoezi mara kwa mara, angalau dakika 30 kila siku


7. Epuka matumizi ya dawa hovio


8. Kunywa maji ya kutosha kwa siku


9. Epuka kutumia sana vyakula ambavyo huongeza kwa kiasi kikubwa sana acid tumboni

n.k


Kujua ZAIDI kuhusu ugonjwa wa Vidonda vya tumbo soma hapa.!!


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.






Post a Comment

0 Comments