Ticker

6/recent/ticker-posts

DALILI ZA MIMBA



 MIMBA

• • • • •

DALILI ZA MIMBA


Hizi hapa ni baadhi ya dalili za Mwanamke mjamzito au mwanamke mwenye mimba;


1. Mwanamke kutokuona siku zake za hedhi


2. Mwanamke kutema mate sana mara kwa mara


3. Matiti kuuma pamoja na kujaa


4. Kuhisi hali ya kichefuchefu na kutapika mara kwa mara


5. Kukojoa mara kwa mara


6. kupata uchovu wa mwili kupita kiasi


7. Mapigo ya moyo kwenda mbio


8. Kuwa mtu wa kukasirika mara kwa mara


9. Tumbo kujaa mithili ya kuwa na Gesi


10. Tumbo kukaza na kuvuta


11. Kupata vidamu vidamu kidogo yaani Light spot, na hii hutokea wakati mtoto anajishikiza kwenye mji wa uzazi


12. Kuanza kupata choo kigumu mara kwa mara


13. Kuvimba pua, hii hutokana na mabadiliko ya vichocheo pamoja na mzunguko wa damu hali ambayo hupelekea kuvimba kwa Mucous membrane puani


14. Kubadilika ngozi ya mwili hasa maeneo ya usoni, na kuwa na vitu vyeupe tofauti na rangi ya kawaida ya ngozi


15. Kuanza kupata kiungulia mara kwa mara


16. Kukosa usingizi


17. Kubadilika mfumo wa kula, na kuanza kupenda baadhi ya vyakula na kuchukia baadhi ya vyakula


18. Kuanza kupenda harufu za vitu flani na kuanza kuchukia harufu za baadhi ya vitu


19. Kupenda kula mara kwa mara


20. Kutapika mara kwa mara baada ya kula chakula

N.k



KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.






Post a Comment

0 Comments