Ticker

6/recent/ticker-posts

DAWA YA VIPELE KWENYE NGOZI



  VIPELE

• • • • •

DAWA YA VIPELE KWENYE NGOZI


Watu wengi husumbuliwa na tatizo la vipele kwenye ngozi,huku wengine vipele vikitokea muda flani au baada ya kutumia vitu flani nakupotea, je hii ina maana gani?


vipele kwenye ngozi huweza kusababishwa na Sababu mbali mbali kama vile;


- Allergy juu ya vitu flani mfano; aina flani ya mafuta ya kupaka kwenye ngozi


- Vipele kwa sababu ya hali ya kimazingira kama vile; joto sana au baridi sana


- Magonjwa ya ngozi


- Maambukizi ya vimelea mbali mbali vya magonjwa kama vile; bacteria,Fangasi au Virusi

n.k



DAWA YA VIPELE KWENYE NGOZI


• zipo njia mbali mbali za kudhibiti tatizo hili ikiwa ni pamoja na Mtu kuepuka vile vitu vyote ambavyo humsababishia hiyo shida(allergy),


Kwa watu wenye matatizo ya ngozi mfano Albino ambao wana ulemavu wa ngozi,hushauriwa kuvaa vitu kama kofia na nguo ndefu ikiwemo mashati ya mikono mirefu ili kujikinga na miale ya Jua


japo pia zipo dawa mbali mbali hutumika ikiwemo za kunywa na za kupaka kama vile; Hydrocortisone cream N.k



KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.





Post a Comment

0 Comments