Ticker

6/recent/ticker-posts

MAMBO YAKUZINGATIA WAKATI WA KULA CHAKULA NA BAADA YA KULA CHAKULA



 CHAKULA

• • • • •

MAMBO YAKUZINGATIA WAKATI WA KULA chakula NA BAADA YA KULA chakula


kuna mambo muhimu sana unatakiwa kuyazingatia wakati wa kula chakula na muda mfupi baada ya kula chakula,mambo hayo ni kama vile;


- Epuka kuongea au kucheka wakati wa kula chakula, tabia hii huweza kusababisha mtu kupaliwa na chakula au kumeza kiwango kikubwa cha hewa ambacho huweza kusababisha madhara mbali mbali kama vile, tumbo kujaa gesi,tumbo kuuma n.k


- Epuka kulala muda mfupi tu baada ya kula chakula cha usiku, kaa kidogo kwa muda ndyo uende kulala


- Kunywa maji ya kutosha ili kusaidia mmeng'enyaji mzuri wa chakula


- Epuka kula chakula pamoja na Pombe


- Epuka kula chakula huku unavuta sigara


- Kula chakula ambacho kina mchanganyiko wa virutubisho vyote katika kiwango sahihi, na epuka kula chakula ambacho kina virutubisho vya aina moja na kwa kiwango kikubwa


- Matunda ni muhimu sana kwenye kila mlo wako unaokula


- Epuka kunywa chai au kahawa pamoja na chakula kwani kuna baadhi ya vyakula huathiriwa umeng'enyaji wake na vitu kama hivi(chai au kahawa/caffeine)


KINGA ni BORA kuliko TIBA, zingatia afya yako



KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.






Post a Comment

0 Comments