Ticker

6/recent/ticker-posts

Ubongo wenye homa Kali ya ubongo (meningitis) PAMOJA NA DALILI ZAKE



MENINGITIS

• • • • • •

Ubongo wenye homa Kali ya ubongo (meningitis) PAMOJA NA DALILI ZAKE


Homa Kali ya ubongo ni mojawapo ya magonjwa hatari ya yanayoweza kupoteza uhai wa mtu endapo hatua za haraka sizipochukuliwa


Homa Kali ya ubongo inaweza kumpata mtu kama Kuna ugonjwa mwingine wowote ambao haujatibiwa vizuri au kama ugonjwa wa ubongo kama ubongo..


Magonjwa ambayo yamekua na matokeo ya kuingia ubongoni na kuleta shida ni


1) Homa Kali ya damu


2) maambukizi ya masikio


3) vipele au vijipu usoni


4) HIV


5) Kifua kikuu


6) maambumizi kwenye Koo


7) Ajali zigusazo kichwa na uso


DALILI ZA HOMA KALI YA UBONGO


1) Homa Kali


2) Kupata degedege


3) kukamaa mwili,hasa  shingo,miguu,mgongo


5) kua na sura ya mtu anaekaribia kufa


6) kutapika


7) KUFA


Wanaopata Sana homa ya ubongo ni WATOTO chini ya miaka 5 na WAZEE


NB: magonjwa yote yatibiwe kikamilifu ,ukipewa dawa tumia kama ulivoelekezwa . Haya yakifanyika basi utakua umekwepa homa Kali ya ubongo. Cr:Dr.mathew






Post a Comment

0 Comments