Ticker

6/recent/ticker-posts

FAHAMU; MAJANI YA MPERA HUSAIDIA SANA KUTIBU MATATIZO YA HEDHI



 MPERA

• • • • •

FAHAMU; MAJANI YA MPERA HUSAIDIA SANA KUTIBU MATATIZO YA HEDHI


Juisi ( Chai/maji ) ya majani ya mpera huwa na uwezo mkubwa sana wa kupunguza ukubwa wa maumivu ya hedhi pamoja na kutoa hedhi yenye mabonge ya damu.


 Uwepo wa ferulic acid, gallic acid na quercetin kwenye majani haya ndiyo siri kubwa ya ufanisi wake.


Muhimu ni kupata Elimu ya kutosha kuhusu maandalizi yake na Jinsi ya kuyatumia


#asili


Kwa ushauri zaidi,elimu au Tiba tuwasiliane kwa namba +255758286584.





Post a Comment

0 Comments