Ticker

6/recent/ticker-posts

TATIZO LA KUPATA MAUMIVU YA CHUCHU PAMOJA NA CHUCHU KUVIMBA KWA WANAUME



   WANAUME

• • • • •

TATIZO LA KUPATA MAUMIVU YA CHUCHU PAMOJA NA CHUCHU KUVIMBA KWA WANAUME


Katika hali ya kawaida maziwa pamoja na chuchu hukua na kuongezeka size wakati wa ukuaji wa binadamu au kipindi cha balehe,


Lakini kuna ukuaji usio wa kawaida wa chuchu ambao kwa kitaalam hujulikana kama tatizo la GYNECOMASTIA


JE CHANZO CHA TATIZO HILI LA CHUCHU KUVIMBA NI NINI?


Kuna sababu mbali mbali kama vile;


- Kuwa na tatizo la kansa au saratani ya titi


- Kuwa na tatizo lolote linalosababisha kuongezeka kwa kiwango cha hormone ya Estrogen mwilini kama vile kuwa na msongo mkali wa mawazo kwa muda mrefu N.k


- Magonjwa ya Ini


- Matumizi ya pombe kupita kawaida


- Magonjwa ya figo kama vile figo kufeli n.k


- Magonjwa yanayohusiana na korodani


- Kuumia sehemu za siri ikiwa ni pamoja kuumia kwenye korodani


- Matumizi ya dawa za kulevyia kama vile; Heroin, Marijuana n.k


- Matatizo mengine ni kama vile;


• magonjwa ya tezi la adrenaline


• Maambukizi ya HIV


• Iron overload


• Klinefelter syndrome


• Tatizo la uzito kupita kiasi au obesity

N.k


CHANZO CHA TATIZO LA MAUMIVU MAKALI YA CHUCHU


✓ kuumia kwenye chuchu


✓ Tatizo la kansa ya matiti


✓ Damu nyingi kujikusana sehemu moja ya kwenye chuchu yaani Bloody nipples


✓ Maambukizi ya magonjwa kwenye titi yaani MASTITISTS


✓ Kuwa na uvimbe wowote kwenye chuchu

N.k


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.






Post a Comment

0 Comments