Ticker

6/recent/ticker-posts

UGONJWA WA KLIPPEL-TRENAUNAY SYNDROME (Klippel-Trenaunay Syndrome)



  Klippel-Trenaunay Syndrome

• • • • • •

UGONJWA WA KLIPPEL-TRENAUNAY SYNDROME  (Klippel-Trenaunay Syndrome)


Huu ni ugonjwa ambao ni mara chache sana kutokea,ugonjwa huu huhusisha mtoto kuzaliwa akiwa na shida mbali mbali kama vile; ya mishipa ya damu yaani abnormal blood vessels development, shida ya misuli,mifupa pamoja na mfumo wa Lymphatic,


matokeo yake mtoto huzaliwa akiwa na ukuaji wa misuli usio wa kawaida kama kwenye picha hapo chini, Baadhi ya misuli ya mwili huwa mikubwa zaidi kuliko mingine,


kuwa na mabaka mabaka mekundu au pink kwenye sehemu mbali mbali za mwili kutokana na shida ya kwenye mishipa ya damu


CHANZO CHA UGONJWA HUU


Ugonjwa huu hutokana na shida kwenye vinasaba au shida ya kigenetics kwa mtu, ndipo baade hupatwa na madhara kama hayo


MATIBABU YA UGONJWA HUU


Ugonjwa huu hutibiwa kwa njia mbali mbali kama vile;


✓ Huduma ya mazoezi yaani physiotherapy


✓ Huduma ya upasuaji


✓ Matumizi ya dawa mbali mbali kama vile sirolimus

N.K


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.





Post a Comment

0 Comments