Dalili za Ugonjwa wa Kaswende,chanzo chake(Syphilis)

Dalili za Ugonjwa wa Kaswende,chanzo chake(Syphilis) Kaswende ni ugonjwa wa zinaa ambao hutokana na maambukizi ya bacteria wanaojulikana kwa jina la Treponema pallidum, Unaweza kupata ugonjwa wa Kaswende kupitia mgusano(direct contact) kwenye michubuko au vidonda ambavyo tayari vimeathiriwa na bacteria hawa, michubuko au vidonda hivi huweza kuwepo maeneo kama vile; – Mdomoni – Kwenye Uume … Continue reading Dalili za Ugonjwa wa Kaswende,chanzo chake(Syphilis)