Ticker

6/recent/ticker-posts

Breaking! Dkt. Jones Killimbe Mwenyekiti mpya wa Bodi ya Wakurugenzi wa TCRA



Breaking! Dkt. Jones Killimbe Mwenyekiti mpya wa Bodi ya Wakurugenzi wa TCRA.

Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA )ambapo amemteua Dkt. Jones A. Killimbe kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa TCRA na pia amemteua Juma Hassan Reli kuwa Makamu Mwenyekiti wa Bodi hiyo.



Post a Comment

0 Comments