Ticker

6/recent/ticker-posts

Changamoto ya Usugu wa Vimelea vya Magonjwa dhidi ya Dawa (UVIMADA) nchini Tanzania ni kubwa



“Changamoto ya Usugu wa Vimelea vya Magonjwa dhidi ya Dawa (UVIMADA) nchini Tanzania ni kubwa kuliko hata athari za ugonjwa wa Malaria.

Takwimu za Mwaka 2019 zinaonyesha kuwa watu 12,500 walifariki kutokana na athari za UVIMADA.

Watu 54,000 walifariki kutokana na changamoto zinazohusiana kwa ukaribu na UVIMADA” Prof. Robison Mdegela Mhadhiri kutoka Chuo Kikuu Sokoine cha Kilimo SUA.



Post a Comment

0 Comments