Ticker

6/recent/ticker-posts

Mwanamke Dereva Wa Gari La Wagonjwa Aliyekaidi Kanuni Za Kijinsia Akaachika Kwa Mumewe



Huyu Hapa Mwanamke Dereva Wa Gari La Wagonjwa Aliyekaidi Kanuni Za Kijinsia Akaachika Kwa Mumewe – Video

Batula Ali amekaidi kanuni za kijinsia na matarajio ya jamii na kuwa mwanamke wakipekee dereva wa gari la wagonjwa yaani ambulensi katika kambi kubwa ya wakimbizi Garissa nchini Kenya, Dadaab.



Post a Comment

0 Comments