Ticker

6/recent/ticker-posts

Mwili wa Mtanzania Alieuawa Israel Waagwa



Mwili wa Mtanzania Alieuawa Israel Waagwa

Mwili wa Mtanzania aliyeuawa nchini Israel, Marehemu Clemence Mtenga umeagwa usiku huu huko Tel Aviv nchini Israel na ibada yake kuhudhuriwa na watanzania kadhaa na wenyeji wao.

Kwa mujibu wa taarifa za awali za Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki mwili huo unatarajiwa kufika nchini Jumamosi hii kwaajili ya mazishi baada ya Watanzania waliopo Israeli kuuaga mwili huo.



Post a Comment

0 Comments