New! Timu ya Yanga SC imefanikiwa kuingia tano bora

#1

Timu ya Yanga SC imefanikiwa kuingia tano bora katika kipengele cha kuwania tuzo ya Klabu bora ya mwaka ya CAF 2023.

Timu nyingine zilizofanikiwa kuingia tano bora ni USM Alger ya Algeria, Al Ahly ya Misri, Wydad Casablanca ya Morocco na Mamelod Sundowns ya Afrika Kusini.

Sherehe ya utoaji wa tuzo hizo itafanyika December 11, 2023 Jijini Marrakesh nchini Morocco.

WEKA COMMENT HAPA..!!!


image quote pre code