Ticker

6/recent/ticker-posts

Wabunge wanaoendelea na mgomo Watapoteza Viti vyao - Uganda



Wabunge wa upinzani nchini Uganda wameapa kuendelea kususia vikao vya bunge hadi pale serikali itakapotoa taarifa kushughulikia malalamiko juu ya masuala kadhaa yakiwemo ukiukaji wa haki za binadamu, kamatakamata ya wapinzaji na hali jumla ya kuzorota kwa utoaji huduma. Licha ya vitisho kutoka kwa spika wa bunge kwamba watapoteza viti vyao iwapo wataendelea na mgomo huo, wabunge hao wamesisitiza kuwa ni haki yao kudai suluhisho kwa maovu na manyanyaso yanayofanywa na vyombo vya dola.



Post a Comment

0 Comments