Ticker

6/recent/ticker-posts

Yanga Klabu namba nne kwa ubora Afrika na Simba SC namba 12



Shirikisho la Kimataifa la Historia ya mpira wa miguu na takwimu Duniani (IFFHS) limeitangaza Yanga kuwa ni Klabu namba nne kwa ubora Afrika na Simba SC namba 12.

Takwimu hizi ni kwa kipindi cha kati ya September 01, 2022 hadi Augst 31, 2023, huku vilabu namba moja ni Al Ahly ya Misri na Wydad Casablanca ya Morocco.



Post a Comment

0 Comments