Ticker

6/recent/ticker-posts

Mdudu Mwenye Sumu kali Agunduliwa Uingereza



Sentipede adimu na mwenye sumu kali amegunduliwa huko Nottinghamshire, Uingereza kwa mara ya kwanza.

Scutigera coleoptrata, anayejulikana kama House Centipede, alipatikana nyumbani kwa msomi wa Chuo Kikuu cha Leicester, Dk Richard Jones.

Dk Jones aliona mdudu huyo bafuni kwake juu ya ghorofa ya chini na amekuwa akiangalia tabia yake tangu wakati huo.

Centipede ni asili ya Mediterania na imeenea katika sehemu kubwa ya Ulaya, Asia, Amerika Kaskazini na Australia – lakini bado ni nadra sana nchini Uingereza.



Post a Comment

0 Comments