Ticker

6/recent/ticker-posts

Joto kali kuongeza hatari ya kujifungua mtoto aliyejifia tumboni



Joto kali kuongeza hatari ya kujifungua mtoto aliyejifia tumboni.

Kufanya kazi kwenye joto kali kunaweza kuongeza hatari ya mtoto kuzaliwa akiwa amefariki na kuharibika kwa mimba kwa wanawake wajawazito hii ni kwa mujibu wa utafiti mpya kutoka India.

”Matokeo ya hivi karibuni kutoka India ni ya kutisha na yanatia wasiwasi,” anasema Prof Hirst, – Mshauri wa masuala ya uzazi

Wastani wa halijoto ya dunia inakadiriwa kuongezeka kwa karibu digrii tatu mwishoni mwa karne hii, ikilinganishwa na nyakati za kabla ya viwanda.

Kiwango cha juu cha joto salama kwa watu wanaofanya kazi nzito ni 27.5C, kulingana na tasisi ya Usalama na Afya Kazini Marekani.



Post a Comment

0 Comments