kusagana ni nini? Maana yake na Madhara yake.
kusagana ni nini?
Kusagana maana yake; ni pale ambapo Mwanamke na mwanamke hufanya mapenzi,
Tafiti zinaonyesha Wanawake wanaojihusisha na Kusagana wapo kwenye hatari kubwa ya kupata tatizo la Msongo wa mawazo pamoja na wasiwasi kuliko wanawake wengine.
Hii inaweza kutokana na ubaguzi, kukataliwa na wapendwa wao, Jamii, dhuluma au vurugu. Tatizo linaweza kuwa kubwa zaidi kwa wale ambao hawajawaambia wengine kuhusu mwelekeo wao wa ngono au kwa wale ambao hawana usaidizi kutoka kwa marafiki au familia.
MADHARA YA WANAWAKE KUSAGANA
Kuna madhara mengi ya kiafya kwa wanawake wanaosagana, na katika makala hii tumejadili Baadhi ya madhara hayo.
MADHARA YA WANAWAKE KUSAGANA AU KUJICHUA NI PAMOJA NA;
– Kuharibika Nerves kwa kiasi kikubwa katika eneo la kinembe au Clitoris hali ambayo husababisha mwanamke kuwa vigumu sana kuridhika na kufurahia wakati akifanya mapenzi na mwanaume.
– Mwanamke kuanza kukonda na mwili kuwa dhaifu sana kama hatazingatia ulaji mzuri wa chakula
– Kuathiriwa kwa utendaji kazi wa tezi la Bartholin hali ambayo huweza kupelekea kupungua hali ya ute ute na unyevu unyevu ukeni
– Sehemu za siri au uke kulegea sana
– Kuanza kupata maumivu ya mara kwa mara ukeni
– Huweza kusababisha mwanamke kukosa kabsa hamu ya kufanya mapenzi na mwanaume
– Athari huweza kuonekana hadi kwenye kizazi(mara chache sana) n.k
Bonus Tips; Zingatia Mambo haya Muhimu kwa Watu wote Wanaofanya Mapenzi
1. Hakikisha unajikinga na magonjwa yote ya Zinaa kwa kutumia kinga/Condomu
2. Hakikisha Mwenza wako kapimwa magonjwa yote ikiwemo ya zinaa pamoja na maambukizi ya Virusi vya Ukimwi
3. Fanya Ngono Salama
4. Kuwa na Mpenzi mmoja(Have only one sexual partner)
5. Dhibiti matumizi ya Pombe,Sigara pamoja na dawa zingine za kulevyia.
6. Pata Chanjo kwa magonjwa yanayohitaji chanjo,
Mfano; Magonjwa kama vile
- Homa ya Ini(hepatitis A, hepatitis B).
- Virusi vya HPV(human papilloma Virus)
6. Ikiwa umefanya mapenzi kwenye mzingira hatarishi ya kupata VVU, hakikisha unapata (PEP) Ndani ya Saa 72.
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.