Ini ni moja ya viungo muhimu zaidi kwenye mwili wako, Hufanya kazi zaidi ya 500, Ikiwemo kazi ya kuchuja sumu kutoka kwenye damu, kutengeneza protini muhimu,...
Dalili za mwanzo za ugonjwa wa ini Ugonjwa wa ini (hepatic disease) mara nyingi huanza taratibu na dalili zisizo wazi, ambazo zinaweza kuchanganyikiwa na hali nyingine...