Notice: Karibu Afyaclass Kwa Ushauri,Elimu na Tiba juu ya magonjwa mbali mbali. Get More InfoGet More Info
Website yetu inajulikana kama AfyaclassTunahusika na kutoa ushauri/ Elimu/ Tiba kwa wanawake,wanaume na watoto pamoja na afyatips mbali mbali muhimu kwa ajili ya afya yako.
(1)Afya Ya Uzazi
(2)Magonjwa Ya Wanawake
(3)Afya Ya Mtoto
(4)Magonjwa Ya Wanaume
(5) Magonjwa Sugu Na Magonjwa Mengine
(6) Tips Mbali Mbali Za Afya N.K
Kuna Machapisho/makala(articles) Zaidi ya 10,000+ ambazo zimeandikwa baada ya kufanyiwa Uchunguzi wa kina,
Kisha kuandikwa kwa Ujuzi mkubwa pamoja na Uzoefu wa wataalam wa afya(experience) na kufanyiwa Reviews na wataalam mbali mbali wa afya ikiwemo;
Lengo kubwa la kuhakikisha machapisho yanafanyiwa reviews kabla ya kuchapishwa na hata baada ya kuchapishwa, ni ili kuhakikisha unapata taarifa Sahihi kila wakati(accurancy of information).