Kwa Mujibu wa Shirika la Afya Duniani(WHO); Afya yako inategemea Vitu hivi
Kwa Mujibu wa Shirika la Afya Duniani(WHO); Afya yako inategemea Vitu hivi;
– Mazingira Mazuri ya kufanya kazi
– Kuwa Huru na Ubaguzi
– Elimu
– Mazingira Salama na yenye afya
– Kula Vizuri au kula chakula chenye afya(Healthly diet)
– Makazi mazuri au yenye Ubora
– Kupata huduma bora za Afya
– Kuwa na maji Safi na Salama ya kunywa
– Kuwa na hewa Safi n.k
WHO inasema; Afya imejumuishwa kama haki ya binadamu katika katiba za nchi 140, lakini bado mabilioni ya watu wananyimwa haki hii ya kimsingi kiutendaji. Ni wakati wa kuchukua hatua ili kuziba pengo hili.
#AfyaKwaWote #AfyaYanguHakiYangu
Credits; WHO
Photos Source: WHO
Editor,Reviewer: @afyaclass
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!