Hii ndyo Orodha mpya ya magonjwa ya zinaa kwa Sasa.
Magonjwa ya zinaa
Magonjwa ya Zinaa ni yale magonjwa yote ambayo huenezwa kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine kwa kufanya mapenzi.
Magonjwa haya unaweza kuyapata kwa njia kama vile;
- Vaginal sex
- oral sex
- au anal sex.
- Pia huweza kusambazwa kupitia ngozi kugusana
- kuenea kwa kugusana kwa karibu sana kimwili kama vile kupapasana,ingawa hii ni mara chache.
Magonjwa ya Zinaa huweza kuenezwa baada ya mtu kupata maambukizi ya Viini mbali mbali vya magonjwa kama vile;
- Bacteria
- Fangasi
- Virusi
- Parasite n.k
Orodha ya magonjwa ya zinaa
Hii ndyo orodha ya magonjwa ya Zinaa kwa Mujibu wa vituo vya kudhibiti na kuzuia magonjwa-CDC, pamoja na Shirika la Afya Duniani(WHO);
1. Bacterial Vaginosis
Maambukizi ya bacteria ukeni, Soma Zaidi ugonjwa huu wa Bacterial Vaginosis hapa.
2. Ugonjwa wa Chlamydia
Ugonjwa wa chlamydia kwa jina lingine hujulikana kama Ugonjwa wa pangusa, Soma Zaidi hapa ugonjwa huu wa Chlamydia.
3. Ugonjwa wa Kisonono(Gonorrhea)
Soma hapa Ugonjwa huu wa kisonono,dalili,matibabu.
4. Ugonjwa wa homa ya Ini(Hepatitis)
Pia virusi wa ugonjwa huu unaweza kuwapata wakati wa kufanya mapenzi
Soma Zaidi hapa, Ugonjwa wa hepatitis
5. Maambukizi ya Herpes
Genital herpes pia ni miongoni mwa magonjwa ya Zinaa,lakini watu wengi wenye maambukizi haya hawajui kama wanayo.
6. Ukimwi,VVU(HIV/AIDS)
Watu walio na magonjwa ya zinaa wana uwezekano mkubwa wa kupata pia virusi vya Ukimwi(VVU), ikilinganishwa na watu ambao hawana magonjwa ya zinaa.
Soma Zaidi hapa,Ukimwi pamoja na dalili zake
7. Maambukizi ya Virusi wanaojulikana kama Human Papillomavirus (HPV)
Soma Zaidi hapa kuhusu kirusi hiki cha HPV na Madhara yake
8. Mycoplasma genitalium (Mgen)
Mycoplamsa genitalium, au Mgen ni miongoni mwa magonjwa ya Zinaa ambayo mtu huweza kupata dawa jamii ya antibiotics akatumia na kupona.
9. Ugonjwa wa Kaswende(Syphilis)
Kaswende pia ni miongoni mwa magonjwa ya Zinaa ambayo huwapata watu wengi Zaidi,
Soma Zaidi hapa ugonjwa wa Kaswende,chanzo,dalili na Tiba.
10. Maambukizi ya Trichomoniasis
Soma Zaidi hapa tatizo hili la trichomoniasis
11. Kwa Mujibu wa CDC, magonjwa haya pia yaliwekwa kwenye Orodha yao ya magonjwa ya Zinaa;
- Maambukizi ya bacteria kwenye Via vya Uzazi(PID)
- Chancroid,
- scabies n.k.
Soma Zaidi hapa:
1. Jinsi ya kujikinga na magonjwa ya Zinaa
2. Watu ambao wapo kwenye hatari ya kupata magonjwa ya Zinaa
3. Dalili za magonjwa ya Zinaa
4. Matibabu ya magonjwa ya Zinaa
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!