Connect with us

Afyaclass Ask

Mm naona mwenzi mara mbili

Merry

Published

on

Afyaclass Ask: Limejibiwa • Muulizaji: Merry
29 Nov 2026 • 2:25 AM • Orodha ya Maswali →

Mm sikuzangu naona kwa mwenzi mara mbilo

Jibu la KitaalamuDoctor Ombeni ✔• November 28, 2026

Sababu za kuona siku za hedhi mara mbili ndani ya mwezi mmoja

Zipo sababu mbali mbali ambazo huweza kusababisha hali hii ya kuona hedhi mara mbili ndani ya mwezi mmoja, ikiwemo;

1.Kuwa na tatizo la Mvurugiko wa vichocheo mwilini ambalo kwa kitaalam hujulikana kama Hormone imbalance.

2. Matumizi ya baadhi ya njia za uzazi wa mpango ambazo zina vichocheo kama progestrone na estrogen Mfano,Sindano,au vipandikizi(Vijiti).

3. Mwanamke kubadilisha mazingira au hali ya hewa,Mfano; kutoka sehemu moja ambayo amekaa kwa mda mrefu na kwenda sehemu nyingine ambayo hajawahi kukaa kabsa.

4. Mwanamke Kuwa na tatizo la uvimbe kwenye kizazi

5. Mwanamke kufanya kazi ngumu kupita kiasi

6. Pia mwanamke akifanya sana mazoezi ya mwili kupita kiasi huweza kupatwa na tatizo hili

Kuna baadhi ya wanawake hupata period mara mbili au zaidi kwa mwezi ambayo huambatana na maumivu makali sana ya tumbo hadi wengine kufikia hatua ya kulazwa kabsa hospital.

Kama una tatizo hili na unahitaji tiba tumia mawasiliano yetu.(+255758286584)

Una swali jingine la afya?Uliza moja kwa moja upate ufafanuzi wa kitaalamu.
+ Uliza Swali

Muendelezo wa Maswali Mengine

✚

Ushauri,Elimu,Tiba

Medical Consultation: Karibu afyaclass Kwa Ushauri na Tiba, Kama una Tatizo lolote la kiafya, tafadhali Wasiliana na Daktari moja kwa moja hapa || Call au Sms(+255758286584) au Whatsapp.

Je, unahitaji ushauri binafsi au matibabu ya tatizo lolote?

💬 Wasiliana na Daktari Hapa(Whatsapp)
Afyaclass Ask Majibu ya Kitaalamu

Una swali au dalili unayotaka ufafanuzi wake?

Usibaki na mashaka baada ya kusoma. Uliza swali lako moja kwa moja kwenye Afyaclass Ask au pitia maswali ya wadau wengine yaliyojibiwa kitaalamu.

Mdau wa afyaclass

AFYACLASS POSTS

magonjwa ya watoto12 hours ago

Kadi ya kliniki ya mtoto

KADI YA KLINIKI YA MTOTO Kuna sehemu kuu mbili katika kadi ya mtoto ya Kliniki ambazo ni kama ifuatavyo; 1....

magonjwa16 hours ago

Ugonjwa wa bawasiri na tiba yake,Madhara na Dalili zake

Ugonjwa wa bawasiri na tiba yake,Madhara na Dalili zake Ugonjwa wa Bawasiri kwa kitaalam Hemorrhoids ni ugonjwa unaohusisha kuvimba na kutuna kwa...

Uzazi&Ujauzito18 hours ago

Sababu za kutoshika MIMBA

Sababu za kutoshika MIMBA ni Zipi? Mmejaribu mara kwa mara, tena mmefanya tendo siku za hatari, bila kinga na hakuna...

Afya News1 day ago

Mapambano dhidi ya malaria yamekwama: Changamoto mpya na mabadiliko ya ufadhili

Kwa takribani miaka 15 kuanzia mwaka 2000, mapambano dhidi ya malaria yalikuwa yakipiga hatua kwa kasi na kwa mafanikio. Hata...

Utafiti1 day ago

Wanasayansi wamebaini zaidi ya makundi 116,000 ya virusi vinavyoishi katika utumbo wa binadamu

Wanasayansi wamebaini zaidi ya makundi 116,000 ya virusi vinavyoishi katika utumbo wa binadamu; zaidi ya asilimia 99 ya virusi hivyo...

Ebola2 days ago

Mahakama ya nchini Kenya yasitisha kituo cha Ebola cha Marekani

Mahakama ya nchini Kenya yasitisha kituo cha Ebola cha Marekani Kituo hicho chenye vitanda 50 kimejengwa ndani ya kambi ya...

Utafiti2 days ago

Tanzania yatumia takwimu halisi kufuatilia vifo vya mama na watoto wachanga

Tanzania inatumia takwimu halisi zinazokusanywa kupitia mifumo ya ndani kufuatilia vifo vya mama na watoto wachanga, hatua inayolenga kubaini ukubwa...

Afya News2 days ago

Sindano ya kuzuia maambukizi ya Virusi vya Ukimwi (HIV) kufika Uganda

Nchi ya Uganda inatarajiwa kupokea shehena yake ya kwanza ya toleo nafuu la sindano ya kuzuia maambukizi ya Virusi vya...

Afya News3 days ago

Wanaume wasita huku wanawake wakijitokeza kwa wingi kupata sindano ya kuzuia VVU

Takriban wanawake 11,000 wamepata sindano ya Lenacapavir ikilinganishwa na wanaume wapatao 3,500, jambo linalozua maswali kuhusu upatikanaji wa njia za...

WHO3 days ago

Dola million 2 kutolewa kuimarisha shughuli za kitaifa za chanjo nchini Cuba

Leo, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Dkt. Tedros Adhanom Ghebreyesus, ametangaza msaada wa dola za Marekani milioni...