Hamu ya tendo la ndoa (libido) hubadilika kadri mtu anavyozeeka. Mabadiliko haya ni ya kawaida na hutokana na mabadiliko ya homoni, afya ya mwili, afya ya...
Shirika la Afya Duniani (WHO) linakadiria kuwa zaidi ya vijana bilioni moja duniani wako katika hatari ya kupata matatizo ya kusikia kutokana na tabia ya kusikiliza...
Jinsi Uvutaji Sigara Unavyoathiri Meno Yako Kuvuta sigara kunahusishwa na hatari kubwa ya kupoteza meno kwa wale wanaovuta ikilinganishwa na wasiovuta sigara. Tumbaku inaweza kuharibu fizi,...
Makala ya Afya: Kuvunjika kwa Mfupa wa Paja (Femur) – Kwa Nini Ni Jeraha Hatari Sana? Tukio la mzee mwenye umri wa miaka 65 kushambuliwa na...
Maji safi, vyoo salama na mazingira yenye usafi ni msingi wa afya bora. Bila huduma hizi, hatari ya kuambukizwa magonjwa kama kuhara, kipindupindu, homa ya matumbo...
Dalili za Uric Acid Kuzidi Mwilini, Ishara, Takwimu na Vyanzo vyake Uric acid ni taka inayozalishwa mwilini baada ya kuvunjwa kwa kemikali zinazoitwa purines, ambazo hupatikana...
Njia 11 za Kupunguza Cortisol Kiasili Makala hii inaeleza jinsi cortisol (homoni ya msongo wa mawazo) inavyoongezeka wakati wa stress na jinsi inaweza kuathiri afya—ikiwemo kuongeza...