Historia:Mvumbuzi wa kwanza wa Taulo za kike (pads) Huyu ndio Mwanamke wa kwanza kugundua taulo za kike Maisha ya sasa siyo sawa na ya zamani, wakati...
WATAALAM WA MAGONJWA YA NDANI WAJENGEWA UWEZO MUHIMBILI Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa kushirikiana na Chama cha Madaktari Bingwa wa Magonjwa ya Ndani pamoja na Hospitali...
Wanaojifungua Watoto Njiti kuongezewa muda wa likizo ARUSHA: MAKAMU wa Rais, Dk Philip Mpango amewataka waajiri nchini kuwapa muda zaidi wa likizo wafanyakazi wanaojifungua watoto njiti ili...
Serikali kupitia Wizara ya Afya imesema tayari bunge limepitisha Sheria ya Udhibiti wa Tumbaku ijulikanayo kama “The Tobacco Products (Regulation) Act, 2003” ambayo imetoa katazo la...
Serikali kupitia Wizara ya Afya imesema tayari bunge limepitisha Sheria ya Udhibiti wa Tumbaku ijulikanayo kama “The Tobacco Products (Regulation) Act, 2003” ambayo imetoa katazo la...
Gharama za upasuaji wa kurekebisha maumbile zinaanzia Sh15 milioni hadi Sh22.5 milioni. Wakati Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila ikitarajia kufanya upasuaji wa kurekebisha maumbile Mei 2024, imeelezwa...
Maporomoko ya matope kutoka Mlima Kabumbilo hadi mwalo wa Kabumbilo yalianza kujitokeza Aprili 17, 2024 na awali iliripotiwa kwamba nyumba moja na ekari 10 za mashamba...
Mwanamtandao maarufu wa TikTok Nchini Iraq auawa kwa Risasi Mwanamtandao maarufu wa TikTok Nchini Iraq aitwaye Ghufran Sawadi maarufu kama Om Fahad, ameuawa kwa risasi nje...
Serikali kuanzisha taasisi upasuaji ubongo Wizara ya Afya imedhamiria kuanzisha taasisi mahususi itakayoshughulikia masuala ya upasuaji wa ubongo na mishipa ya fahamu ili kuboresha huduma hizo...
Nchi zinazokabiliwa Zaidi na Vifo na milipuko ya ugonjwa wa Malaria kama vile Uganda, zimefaulu angalau kwa kiwango fulani. Wakati ulimwengu ukiadhimisha siku ya kupambana na...
Mtoto aliyeokolewa kutoka tumboni mwa mamake aliyeuawa Gaza Afariki. Mtoto aliyeokolewa kutoka tumboni mwa mamake aliyekuwa mahututi baada ya shambulizi la anga la Israel kusini mwa...
Mloganzila kuanzisha huduma ya upandikizaji wa ini Daktari Bingwa Bobezi wa upasuaji ambaye pia amebobea katika masuala ya upandikizaji wa ini kutoka Hospitali za HGC, Dkt....
Mlipuko wa homa ya Nyani watokea tena, Chukua tahadhari Kufuatia uwepo wa taarifa za visa 19 vilivyothibitishwa katika miji mitano ikiwa ni pamoja na jiji la...
#Kenya: Chama cha madaktari na matabibu nchini Kenya, KMPDU kimesema kwamba “hakitalegeza msimamo wake” wala kuridhia kurejea kazini hadi pale hatima ya madaktari wanafunzi itakapojulikana. Kufuatia...
Beki wa Super Falcons, Plumptre afanyiwa upasuaji. Beki wa Super Falcons, Ashleigh Plumptre amefanyiwa upasuaji ambao umeenda kwa mafanikio nchini Saudi Arabia. Plumptre alipata jeraha hilo...
Jumla ya watu 391 wamekufa kutokana na Kipindupindu na ugonjwa wa Dengue katika mwaka wa vita nchini Sudan, Wizara ya Afya ya Sudan ilitangaza siku ya...
SERIKALI imesema wananchi 273,159 hawana makazi kutokana na mvua inayoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali nchini. Kadhalika, viongozi wa dini wataondoka leo na treni ya kisasa (SGR)...
WATOTO 25 WENYE VICHWA VIKUBWA NA MGONGO WAZI WAFANYIWA UPASUAJI AWAMU YA KWANZA YA KAMBI YA MATIBABU MOI Na Abdallah Nassoro-MOI Watoto 25 wenye vichwa vikubwa...
NCDC yafanya mkutano wa dharura huku ugonjwa wa ajabu ukienea hadi Zamfara Nigeria. Kituo cha Kudhibiti Magonjwa cha Nigeria (NCDC) kimefanya mkutano wa dharura na makamishna...
Kifo cha Jenerali Ogolla kinaacha ombwe katika nafasi hiyo nyeti ya ulinzi wa Taifa, Rais Ruto na Baraza la Ulinzi wanatarajiwa kumteua mrithi. Nairobi. Jenerali Francis...
Madaktari wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mwanza Sekoutoure wamefanikiwa kufanya upasuaji na kuondoa Jiwe ndani ya kibofu cha Mkojo kwa Mwanamke mwenye umri wa...
Tushirikiane kwa pamoja kutokomeza SARATANI Na. WAF – Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Afya imeahidi kuendelea kushirikiana na wadau ikiwemo Taasisi ya Shujaa cancer Foundation katika...
#PICHA;Mtoto mwenye umri wa mwaka 1 anafanyiwa uchunguzi wa matibabu kama kuna dalili za utapiamlo katika kituo cha mapokezi kwenye mpaka wa Sudan na Sudan Kusini....
Nigeria yaleta chanjo mpya ya 5-in-1 dhidi ya homa ya uti wa mgongo,meningitis. Wahudumu wa afya wazindua kampeni ya chanjo inayolenga kuwafikia watu milioni moja Katika...
Wanafunzi 200 wa Shule ya Msingi Generation iliyopo katika Kata ya Itezi Jijini Mbeya, wamenusurika kifo baada ya mabweni waliyokuwa wanaishi kufukiwa na tope lililotokana na...
Miili ya Wanafunzi Saba Yaopolewa Ajali ya Arusha Miili saba ya wanafunzi wa Shule ya Msingi Ghati Memorial iliyoko Murieti jijini Arusha imepatikana katika maeneo tofauti...
Miili saba wanafunzi yaopolewa Arusha Arusha. Miili saba ya wanafunzi wa Shule ya Msingi Ghati Memorial iliyoko Murieti jijini Arusha imepatikana katika maeneo tofauti na kukamilisha idadi...