WHO yazindua mtandao mpya wa kupambana na virusi vya corona, CoViNet, “WHO imezindua mtandao mpya wa kupambana n virusi vya corona,unaojulikana kama CoViNet, ili kuwezesha na...
Wafanyakazi kulipwa dola 75,000 kwa kila mtoto atakayezaliwa. Kampuni moja ya Korea Kusini imeahidi kulipa wafanyakazi hadi kiasi cha $75,000 kwa kila mtoto atakayezaliwa, ikiwa ni...
Kenya: Uhaba wa vifaa vya msingi, maambukizi na ukosefu wa wataalam wa afya chanzo kikuu cha ongezeko la vifo vya watoto wachanga. Kenya: Uhaba wa vifaa...
Wasitisha kutengeneza Nepi za Watoto na kuhamia za Watu wazima. Kiwanda cha kutengeneza nepi cha Japan kimetangaza kuwa kitaacha kutengeneza nepi kwa ajili ya watoto wachanga...
Zaidi ya watu 63,000 wamepotea au kutoweka kwa uhamiaji Shirika la Uhamiaji Duniani IOM limetoa ripoti ya utafiti uliobanisha kuwa zaidi ya watu 63,000 wamepotea ama...
Watu wapatao 20 wanahofiwa kuwa ndani ya maji baada ya daraja la Francis Scott lililopo Baltimore Nchini Marekani kukatika vipandevipande leo March 26,2024 baada ya meli...
DOWEICARE yatoa msaada wa taulo za watoto muhimbili zenye thamani ya tzs. 35 mil. Hospitali ya Taifa Muhimbili imekabidhiwa msaada wa taulo za watoto wachanga aina...
Mwili wa daktari wa watoto wa Afrika Kusini wapatikana kwenye buti ya gari lake. Daktari wa watoto maarufu, Dk. Zamambo Siphokazi Mkhize, mwenye umri wa miaka...
TANZIA: Mwigizaji Mkongwe wa Nigeria Amaechi Muonagor amefariki baada ya kuugua magonjwa mbalimbali ikiwemo figo kufeli. Mwigizaji Mkongwe wa Nollywood Nigeria Amaechi Muonagor (62) amefariki baada...
NIGERIA:Watoto 287 wa shule ya Kaduna waliotekwa nyara waachiliwa. Watoto 287 wa shule waliotekwa nyara kutoka Kuriga, Eneo la Serikali ya Mtaa ya Chikun katika jimbo...
Bilionea Sabodo afariki dunia, atakumbukwa miaka ya 1970 nchi ilipokumbwa na uhaba wa mafuta alimuomba Mwalimu Nyerere kwenda Iran kuomba mafuta, pia alikuwa mfadhili wa vyama...
Vifo zaidi ya watu 400: Ripoti ya Shakahola ilipuuzwa Tume ya Kitaifa ya haki za Binadamu Kenya – KNHCR, imesema Maafisa wa Serikali na Mamlaka za...
Ndoa za utotoni zaongezeka SUDAN:Wataalam UN wasichana wakimbizi wa ndani katika kituo kinachosaidiwa na UNICEF cha Al Salam Sudan.Picha Wataalamu huru wa Umoja wa Mataifa leo...
Madaktari wapandikiza Figo ya Nguruwe kwa binadamu. “Hii sio tu njia ya kunisaidia, lakini njia ya kutoa matumaini kwa maelfu ya watu wanaohitaji upandikizaji ili kuishi.”...
Shilingi trilioni 1.4 kutumika kukabiliana na magonjwa ya malaria, ukimwi na kifua kikuu Na WAF- Dodoma Serikali ya Tanzania imepokea jumla ya dola za kimarekani milioni...
kijana Ramadhan Hassan (18) kutoka Tanga apate matibabu bure ya ugonjwa alionao. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameelekeza kijana...
WHO yatahadharisha juu ya uhaba wa chanjo ya kipindupindu Shirika la afya duniani WHO limetahadharisha kuwa hatua za haraka zinahitajika ili kukabiliana na ongezeko la ugonjwa...
Rais wa zamani wa FIFA, Sepp Blatter, 88, aona malaika wakimjia akiwa amekosa fahamu baada ya kufanyiwa upasuaji wa moyo. Rais wa zamani wa FIFA, Sepp...
Mashirika yaonya kuhusu kuongezeka kwa idadi ya watoto wachanga wanaokaribia kufa Tarehe 5 Machi 2024, UNICEF na washirika walipeleka mashine za joto 23 ili kusaidia watoto...
Visa vya vifo vinavyohusiana na joto kupita kiasi vyaripotiwa. Joto kali lasababisha shule kufungwa Sudan kusini. “Tayari kuna visa vya vifo vinavyohusiana na joto kupita kiasi...
TMA yatoa angalizo la mvua kubwa siku tatu mfululizo Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa angalizo kwa wakazi wanaoishi ukanda wa Pwani ya Bahari...
Mama ashtakiwa kwa mauaji ya mtoto wake wa miaka mitatu, afukuza timu yake ya wanasheria wakati wa kesi. Mama mmoja raia wa Uingereza anayedaiwa kumuua mtoto...
Akutwa na Minyoo kwenye Ubongo kwa kula nyama ya nguruwe. Mwanaume mmoja nchini Marekani amekutwa na mayai ya minyoo kwenye ubongo wake ambayo huenda imesababishwa na...
Mkuu wa Wilaya ya Tarime Mhe. Kanali Maulid Hassan Surumbu ameongoza katika Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Figo Duniani, Mkoani Mara katika Viwanja vya Mukendo...
Polisi waokoa watoto 251 katika dhehebu tata nchini Zimbabwe. Watoto waliookolewa “walikuwa wakitumiwa kufanya shughuli mbalimbali kwa manufaa ya kiongozi wa dhehebu”, taarifa ya polisi ilisema....
Maambukizi ya malaria yamepungua kwa asilimia 8.1 Tanzania Na. WAF – Dodoma Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dkt. John Jingu amesema kiwango cha maambukizi ya ugonjwa...
Idadi ya waliopata madhara kwa kula samaki aina ya kasa yafikia Watu 160,Vifo 9. Naibu Waziri wa Afya wa Zanzibar, Hassan Khamis Hafidh amesema idadi ya...
Idadi ya watoto waliofariki kabla ya siku tano za kuzaliwa yashuka-(UN IGME) Idadi ya watoto waliofariki kabla ya siku yao ya tano yakuzaliwa imefikia kiwango cha...
Watoto Mil. 11 kupatiwa matone ya vitamini A Serikali kupitia Wizara afya imepokea vidonge vya matone ya Vitamini A milioni 22 kutoka kwa shirika la Nutritrion...
Olivia Munn, 43, agunduliwa saratani ya matiti(breast cancer). Olivia Munn alitangaza Jumatano, Machi 13, kwamba aligunduliwa na saratani ya matiti mnamo Aprili 2023 na kufanyiwa upasuaji...