Tafiti zinaonesha 90% ya Watu hawajui kama Figo zao zina matatizo huku 40% wakifika Hospitali wakati Ugonjwa ukiwa hatua ngumu na za mwisho kutibika na hauwezi...
Wataalamu wasema zinachangia kuongeza maumivu, waonya zaweza kusababisha uoni hafifu na upofu. Wataalamu wa afya na madaktari bingwa wa macho wamesema wanapokea idadi kubwa ya wagonjwa...
kujiepusha na maradhi yatokanayo na mifumo mibovu ya ulaji chakula-Prof Janabi Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Prof. Mohamed Janabi amewataka watu kuendeleza na mtindo...
WATANZANIA wengi wana uzito uliopitiliza (mabonge) kutokana na kutozingatia ulaji unaofaa huku takwimu zikionyesha ni watu saba pekee nchini katika 100 wanaozingatia mlo kamili. Takwimu Aidha,...
Usifanye Mambo haya wakati wa Upimaji presha; 1. Usipime presha baada ya kunywa vinywaji kama vile Pombe, vinywaji venye Caffeine, Kahawa n.k 2. Usipime presha kama...
Madhara ya kupiga X ray X-rays ni aina ya mionzi ambayo ina uwezo wa kutengeneza Picha za Tishu pamoja na miundo mbali mbali ndani ya mwili....
Dalili za Ukimwi ukeni,Soma hapa kufahamu Zipo dalili mbali mbali ambazo huweza kujitokeza kwa mtu mwenye maambukizi ya Virusi vya Ukimwi(VVU), lakini leo tunazungumzia baadhi ya...
Njia za kukusaidia Kuzuia Shinikizo la Juu la Damu Unaweza Kuzuia Shinikizo la Juu la Damu kwa kuzingatia yafuatayo; • Punguza Matumizi ya chumvi nyingi kwenye...
Kwa Mujibu wa Shirika la Afya Duniani(WHO); Afya yako inategemea Vitu hivi; – Mazingira Mazuri ya kufanya kazi – Kuwa Huru na Ubaguzi – Elimu...
Jinsi tunavyoweza kupambana na ugonjwa wa ukimwi Kupambana na ugonjwa wa UKIMWI ni juhudi inayohitaji ushirikiano wa jamii nzima, kutoka kwa watu binafsi hadi serikali za...
Njia bora za Kupiga Mswaki na kulinda meno yako na kinywa Wengi wetu hatutumii njia bora zaidi za kupiga mswaki, licha ya hatari za kiafya za...
Kwa nini chakula cha makopo ni hatari kwa afya yako? Chakula cha makopo kimehusishwa na zaidi ya matatizo 30 ya moyo, saratani na kukosa usingizi. Vyakula...
Kila siku, zaidi ya watoto 1000 chini ya miaka 5 hufa kutokana na magonjwa yanayohusishwa na maji yasiyo salama-UNICEF Mambo 10 kuhusu maji,Jinsi maji yasiyo salama...
Insha kuhusu ugonjwa wa kipindupindu Kama unahitaji kuandika Insha kuhusu Ugonjwa wa Kipindupindu,Makala hii itakusaidia vitu vya muhimu kuzingatia; Ugonjwa wa kipindupindu, au kwa jina la...
Jinsi ambavyo IBADA husaidia kuboresha afya ya Akili Kwa mujibu wa Tafiti nyingi,inaonyesha kwamba Ibada ina Sehemu kubwa sana kwenye kuboresha afya ya akili, Dawa nyingi...
Chanzo cha rangi nyeusi kwapani na jinsi ya kuondoa Wataalamu wa afya wasema fangasi na uchafu ndio visababishi vikubwa vya weusi kwapani. Usafi na kuepuka matumizi...
Je, Visigino Vyako Vina shida? unapata maumivu au tatizo lolote? Matatizo ya kisigino ni ya kawaida na yanaweza kusababisha maumivu. Hii hutokana na mkazo mwingi kwenye...
Jinsi ya kukabiliana na magonjwa yasiyoambukiza Wataalamu wa afya washauri kuzingatia ulaji sahihi wa vyakula ikiwa ni pamoja na kupunguza matumizi ya sukari, chumvi na mafuta....
Mamilioni ya watu wako hatarini kuugua kipindupindu kutokana na ukosefu wa maji safi, sabuni na vyoo, pamoja na uhaba wa chanjo ya kipindupindu.(WHO) Hatua za haraka...
Jinsi ya Kunyoa sehemu za siri bila kupata vipele na muwasho Kunyoa nywele sehemu za siri ni jambo linalofanyika kwa sababu ya usafi wa mwili. Muwasho...
Hizi ndizo chanjo ambazo watoto na watu wazima wanapaswa kupata Je! watoto wako wamechanjwa? Usisahau kupata chanjo. Mara kwa mara huwa tunasikia maneno kama haya. Lakini...
Punguza matumizi ya sukari, chumvi na mafuta pamoja na kufanya mazoezi. Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu ametoa wito Kwa Watanzania kuzingatia mtindo bora wa maisha...
Madhara ya Energy Drink kwa Afya ya Binadamu: Je, Unayajua? Kwa miaka mingi, energy drink zimekuwa maarufu sana kati ya vijana na watu wazima. Wengi huchukulia...
Ugonjwa wa vifaranga kushusha mabawa Ugonjwa wa vifaranga kushusha mabawa, unaojulikana pia kama “Marek’s disease” au “ugonjwa wa kudhoofika kwa misuli,” ni tatizo linaloweza kuathiri vifaranga...
Dkt. Chandika awakumbusha Wananchi kulinda Figo Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH), Dkt. Alphonce Chandika amewashauri Wananchi kuzingatia mtindo bora wa maisha, ili kulinda...
Je,kuna Faida ya tende Ukeni? Hadi kufikia Aprili 2023, hakuna ushahidi wa kisayansi unaothibitisha faida za kutumia tende kwa njia ya uke. Uwekaji wa vitu visivyo...
Hizi ni tabia 11 zinazouharibu ubongo wako Kuna watu wengi ambao hawapendi kutoka nje, Wengine hupenda kutumia wakati wao wakiwa wamelala kwenye chumba chenye giza au...