USALAMA BARABARANI,AFYA NA MAISHA KWANZA Zingatia mambo haya ukiwa barabarani kwa ajili ya afya yako na usalama wako; 1. Usiongee na simu wakati unavuka barabara,wakati unaendesha...
UKUBWA WA TATIZO LA GLAUCOMA TANZANIA
TATIZO LA MSONGO WA MAWAZO NA WASIWASI HUATHIRI MPAKA AFYA YA AKILI(Video+) Tazama Video hii:
SIKU YA FIGO DUNIANI 10/03/2022 KAZI ZA FIGO – Kuchuja taka sumu mwilini – Kurekebisha shinikizo la damu – Kuchakata tindi kali (acid) – Kutengeneza mkojo...
Ni jinsi gani ya Kuzuia mtu asiweze kupoteza usikivu? Tazama video hii
MAMBO YANAYOCHOCHEA UWEZEKANO WA KUPATA MAGONJWA YA FIGO: 1️⃣Ulaji usiofaa hasa matumizi ya chumvi kwa wingi, mafuta na sukari 2️⃣unene uliokithiri 3️⃣kutofanya mazoezi 4️⃣uvutaji wa sigara...
KANSA YA NGOZI(SKIN CANCER) HUANZA NA KUBADILISHA NGOZI YAKO Fahamu kwamba ngozi huweza kushambuliwa na aina nyingi za kansa, tofauti na watu wengi wanavyojua kwamba kuna...
SAMAKI NI CHAKULA KIZURI KWA WATU WENYE KISUKARI SAMAKI: ni chakula kizuri kwa watu wenye kisukari kwani ina kiasi cha kutosha cha protini na asidi ya...
VYAKULA VITANO(5) HATARI KWA AFYA YAKO(VIDEO) Tazama video hii Kujua vyakula Vitano ambavyo huweza kukusababishia madhara makubwa usipotumia kwa uangalifu, Kumbuka mitindo yetu ya Maisha ikiwemo...
MUNGU AKUPE AFYA NJEMA NA KUIBARIKI SIKU YAKO, Kama umeamka salama Mshukuru Mungu kwanza kwa Neema hii, Pia endelea kumuomba ili kuifanya siku yako kuwa ya...
TAFITI:VITAMIN D3 KUBORESHA KINGA YA MWILI KULIKO VITAMIN D2 Watu wengi wanafamu tu kwamba kuna vitamin D, Lakini wengi wao hawajui kwamba vitamin D yenyewe imegawanyika...
UGONJWA WA SHINIKIZO KUBWA LA DAMU Ugonjwa wa shinikizo kubwa la damu – tatizo la kiafya linalotakiwa kuchukuliwa umakini wa juu. Ugonjwa huu huwa na athari...
TAFITI:MAZOEZI PAMOJA NA KUBADILISHA MTINDO WA MAISHA HUPUNGUZA HATARI YA MAGONJWA YA MOYO Kuongeza ari ya kufanya mazoezi ya mwili pamoja na kubadilisha mtindo wa maisha,...
KUTOKWA NA JASHO NA KUNYWA MAJI YA KUTOSHA Kutoka jasho ni moja wapo ya njia ambazo miili yetu hupoteza maji kila siku. Katika msimu wa upepo...
KWA NINI WATU WENGI WANAANGUKA BAFUNI NA KUPATA STROKE MARA NYINGI Kwa hivi sasa kumekuwa na matukio mengi ya watu kudondoka bafuni wakati wakioga, Je chanzo...
UZITO MKUBWA KUHUSISHWA NA UWEZO MDOGO WA UBONGO Baadhi ya tafiti mbali mbali zimeonyesha athari mbali mbali za mtu kuwa na uzito mkubwa au Obesity/ overweight...
Ni tabia ya watu wengi kutokukimbilia hospital pale wanapohisi kuumwa,na wengi wao hufika hosptal pale tatizo linapokuwa kubwa zaidi au wanapofikia hatua mbaya ya kushindwa kufanya...
VIDEO+ SABABU ZA MWANAMKE KUTOKUBEBA MIMBA
AINA ZA BIMA YA AFYA ZINAZOPATIKANA NCHINI TANZANIA 1. National Health Insurance Fund (NHIF) 2. Social Health Insurance Benefit (SHIB) 3. Community Health Fund (CHF) 4....
FIGO • • • • • JE UNAWEZA KUISHI NA FIGO MOJA BILA MADHARA YOYOTE? Kabla ya kujibu swali hili, fahamu kwamba kuna baadhi ya watu...
SUMUKUVU • • • • • MADHARA YA SUMUKUVU MWILINI Je Sumukuvu ni nini? Sumukuvu ni aina ya Kemikali ambayo huzalishwa na Jamii ya Fangasi, Na...
AFYA YA MIFUGO • • • • • • UGONJWA WA HOMA YA NGURUWE(afya ya mifugo) Ugonjwa wa homa ya nguruwe ni ugonjwa ambao husababishwa na...
UKEKETAJI • • • • • MADHARA YA UKEKETAJI KWA MWANAMKE(Hii ni mojawapo ya mila potofu) Hii ni mojawapo ya mila potofu ambayo ni hatari kwa...
SURUALI ZA KUBANA • • • • • • MADHARA YATOKANAYO NA UVAAJI WA SURUALI ZA KUBANA Watu wengi wamekuwa wakivaa suruali za kubana sana hasa...
IMANI POTOFU • • • • • IMANI POTOFU ZENYE MADHARA KIAFYA KATIKA MWILI WAKO Watu wengi wameendelea kukumbatia imani potofu ambazo hata zimekuwa chanzo kikubwa...
YAPI NI MADHARA YA KUWEKA NYWELE DAWA? ➡️ Dawa za Nywele Moja ya Fashion kubwa siku hizi ni kuweka Nywele Dawa kwa akina Dada, Zipo...
Mimba za Utotoni(Teenage Pregnancy). Kwa Tanzania tunaweza tukasema ukipata mimba chini ya Miaka 18 upo kwenye kundi hili la mimba za utotoni. . Point yangu ni...
MADHARA YA KUVAA VIATU VIREFU KWA WANAWAKE ➖SUMMARY Wanawake wengi siku hizi huvaa viatu virefu kama Fashion.Japo tafti za kitaalam zinasema kuvaa viatu virefu kuna madhara...
Matibabu ya mba kichwani Je,dawa ya mba kichwani ni ipi? Haya ni baadhi ya maswali ambayo wafwatiliaji wengi wanauliza hasa wanawake kwa upande wa urembo wa...
Temporibus autem quibusdam et aut officiis debitis aut rerum necessitatibus saepe eveniet ut et voluptates.