Mwanaume mwenye mapafu ya chuma, Paul alexander, afa akiwa na umri wa miaka 78 baada ya kukaa kwa miaka 70 ndani ya tanki la chuma. Paul...
Mwishoni mwa juma lililopita, Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) ilimfanyia upasuaji kwa njia ya matundu madogo (Laparoscopic Hellers Myotomy)mtoto wa miaka saba ambaye alikua na tatizo...
Idadi ya waliong’atwa na mbwa Mwananyamala yaongezeka Idadi ya watu waliojeruhiwa na mbwa aliyekuwa akipita mtaani na kung’ata watu imefikia 28 kutoka 26 iliyokuwa awali. Hayo...
Jengo la mama na mtoto hospitali ya rufaa mkoa mtwara kuanza kutumika aprili 1, 2024 Na: WAF, Mtwara Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Dkt....
Mwanamieleka maarufu Yutaka Yoshie afariki ghafla saa chache baada ya mechi ya fainali. Mwanamieleka maarufu Yutaka Yoshie, 50, amefariki saa chache baada ya mechi yake ya...
Mama aua watoto wake kwa sumu ya kuulia magugu shambani. Mwanamke mmoja aitwae Daines Mwashambo (30) Mkazi wa Kijiji cha Mashese, Mbeya Vijijini anashikiliwa na Polisi...
Watoto 20 washambuliwa na mbwa Mwananyamala Dar es Salaam Wakazi 26 wa Wilaya ya Kinondoni wakiwamo watoto wameshambuliwa na kujeruhiwa na mbwa anayedaiwa huenda ana kichaa...
Shule za Cross River zafungwa kufuatia mlipuko wa surua. Shule mbili zinazopatikana katika eneo la serikali ya mtaa wa Akpabuyo katika jimbo la Cross River nchini...
#PICHA; Wanawake wakikimbia milio ya bunduki HaitiPicha: Odelyn Joseph/AP Photo/picture alliance. Takribani wanawake wajawazito 3,000 nchini Haiti, wanakabiliwa na kitisho cha ukosefu wa huduma za afya,...
Mwigizaji akutwa amekufa akiwa amefungwa mikono baada ya kuvamiwa na wezi. Viscella Richards akutwa amekufa nyumbani ‘akiwa amefungwa mikono’ chumbani baada ya tuhuma za kuibiwa kuibuka....
Mlipuko wa Ugonjwa wa miguu na midomo Uganda, nyama marufuku kwa Sasa Uuzaji wa nyama wapigwa marufuku mjini Kampala – ripoti Mamlaka ya wanyama nchini Uganda...
Kitita cha huduma kwa wanachama chaboreshwa tena na NHIF Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), umesema kuwa Kitita cha huduma kwa wanachama wake kimeboreshwa...
Mvulana wa miaka 11 afariki baada ya kupata mshtuko wa moyo wakati wa challenge ya ‘chroming’ TikTok. Mvulana mwenye umri wa miaka 11 kutoka Uingereza amefariki...
Wadau wa afya wamependekeza suluhisho la mgogoro kati ya watoa huduma za afya binafsi na NHIF, ikiwa ni pamoja na kuondoa kodi kwa watoa huduma, kuimarisha...
Nane(8) wafa kwa kula Samaki aina ya Kasa Pemba. Watu nane kutoka Familia sita tofauti wamefariki dunia na wengine 34 wanapatiwa matibabu Hospitali Kisiwa Panza, Mkoa...
Mwanaume achanjwa mara 217 dhidi ya Uviko ndani ya miezi 29. Mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 62 kutoka Magdeburg, Ujerumani, “kwa makusudi na kwa sababu...
Msamaria mwema aingia kwenye matatizo baada ya kumkimbiza mfanya Usafi aliyezimia hospitalini. NIGERIA; Msamaria mwema alia baada ya kukamatwa na kufikishwa mahakamani kwa kumkimbiza mfanya Usafi...
Ubadhirifu NHIF; 148 wachukuliwa hatua, kati yao; 129 ni watumishi vituo binafsi Meneja wa Kitengo cha Kupambana na Udanganyifu kutoka NHIF Bi. Rose Ntundu ametoa ufafanuzi...
Breaking: Mfanyabiashara Maarufu Babu Rama Wa Kariakoo Ajiua Kwa Kujipiga Risasi Kichwani Mfanyabishara maarufu wa mikoba katika Mtaa wa Kongo kwenye Soko Kuu la Kimataifa la...
Watu 10 wafariki kwa kipindupindu Kagera Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Fatma Mwassa akizungumza wakati wa kikao cha kamati ya ushauri ya mkoa huo leo Machi...
Mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu kwa mara ya pili watokea SIMIYU SIMIYU; Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Dk Yahaya Nawanda, amepiga marufuku watu kula kwenye misiba,...
Ndege mbili zagongana angani jijini Nairobi. Mamlaka ya usafiri wa anga nchini Kenya KCAA imethibitisha katika taarifa kwenye mtandao wa X kuwa ndege aina ya Dash...
Kuelekea kilele cha Maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani, tarehe 8 Machi ,2024 Hospitali ya Rufaa ya Kanda Bugando imeendesha huduma ya upimaji na uchunguzi wa...
Mtoto mwenye umri wa miaka mitano atolewa pini kwenye mapafu yake Mtoto mwenye umri wa miaka mitano, mkazi wa Jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki...
Takriban watu 32 wameuawa kutokana na maporomoko ya ardhi Pakistan. Takriban watu 32 wameuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa kutokana na maporomoko ya ardhi na matukio ya...
Daktari wa meno auawa kwa kupigwa risasi na mgonjwa aliyewahi kumtibu Mwanamume mmoja alimpiga risasi na kumuua daktari wake wa zamani wa meno katika mabishano yaliyotokea...
Sengerema. Watu 19 wamefariki dunia, huku 20 wakipata ulemavu wa kudumu kwa kushambuliwa na mamba katika Halmashauri ya Sengerema, mkoani Mwanza. Takwimu hizo zimetolewa jana Machi...
Kipa wa zamani wa Super Falcons, Bidemi Aluko-Olaseni, afariki dunia baada ya kuugua saratani. Kipa wa zamani wa Super Falcons ya nchini Nigeria, Bidemi Aluko-Olaseni, amefariki...
Inasikitisha! Muigizaji wa vichekesho, Mr Ibu, afariki dunia Baada ya kuumwa kwa muda mrefu huku damu ikiganda kwenye mguu wake, mwigizaji mkongwe, John Okafor almaarufu Mr...
Zaidi ya watu bilioni moja duniani wanakabiliwa na unene kupita kiasi. Zaidi ya watu bilioni moja wanaishi na unene uliokithiri duniani kote, Hizo ni takwimu za...