Hospitali binafsi zaanza kupokea bima za NHIF Baada ya wagonjwa wanachama wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kusitishiwa huduma kwa hospitali binafsi, baadhi...
Mama wa watoto wawili, 41, afariki kwenye ndege ya American Airlines baada ya kuugua ghafla. Mama wa watoto wawili raia wa Marekani alifariki baada ya kuugua...
MOI kuwapokea wagonjwa wote wa NHIF hata jumamosi na jumapili. Na Abdallah Nassoro-MOI Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imesema imejiandaa vema kuwapokea...
Msimamo wa wizara ya afya kuhusu maboresho ya kitita NHIF 2023 Waziri wa Afya Mhe. @ummymwalimu amevielekeza Vituo Binafsi vilivyoingia mkataba na NHIF Kuzingatia masharti ya...
Maambukizi ya virusi vya ukimwi yamepungua kufikia asilimia 1.7 mkoa wa Lindi Na. WAF – Lindi Maambukizi ya Virusi vya UKIMWI yamepungua katika Manispaa ya Mkoa...
TANZIA:Ali Hassan mwinyi afariki dunia, Raisi Mstaafu awamu ya Pili Mzee Ali Hasani mwinyi afariki Dunia. Rais wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi afariki dunia...
#PICHA: Wakimbizi wa ndani katika kambia ya wakimbizi ya Bulengo nchini DR Congo. Nchini Jamhuri ya kidemokrasia kongo DRC Jimboni kivu kaskazini zaidi ya wakimbizi milioni...
Kipande cha Ubavu chavunwa na kuwekwa kama Kiungio cha FUVU kwa mtu. Muhimbili kwa mara ya kwanza yavuna kipande cha ubavu na kukiweka kama kiungio cha...
Benjamin yaendelea kupandikiza betri kwenye moyo. Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) ya jijini Dodoma upasuaji wa kupandikiza betri kwenye moyo kwa watu watatu leo. Upandikizaji wa...
Mwanasoka wa Ivory Coast, Archange Defrignan Mondou afariki dunia. Mchezaji kandanda wa Ivory Coast Archange Defrignan Mondou, umri miaka 19, amefariki dunia baada ya mwili wake...
MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umefanya maboresho ya Kitita cha Mafao kwa wanachama wake ambayo utekelezaji wake utaanza rasmi Machi 1, 2024. Hayo...
Muhimbili:Watoto pacha waliozaliwa wameungana wakatenganishwa wameruhusiwa Leo. watoto pacha waliozaliwa wakiwa wameungana na kufanyiwa upasuaji wa kutenganishwa leo wameruhusiwa: muhimbili yaishukuru awamu ya sita kutokana na...
Mama mjamzito unatakiwa kula Vipi? ili kuwa na uzazi Salama: Kuna umuhimu mkubwa wa kufahamu Lishe Sahihi kwa mama mjamzito ili kuwa na Uzazi bora, Mtaalamu...
Mwanaume wa Marekani anakaribia kutangazwa kuwa ameponywa VVU na saratani ya damu. Paul Edmonds, mwenye umri wa miaka 68, kutoka California ambaye alitrend kwenye vichwa vya...
Wagonjwa 40 kubadilishwa nyonga MOI Na Radhia Balozi-MOI Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) Prof. Abel Makubi amewapokea madaktari bingwa...
Mwanajeshi AARON aliyejichoma moto afariki Dunia Mwanajeshi wa Jeshi la Anga la Marekani Aaron Bushnell mwenye umri wa miaka 25 ambaye alijirekodi video akipinga vita dhidi...
Star wa AFCON 2023, Troost-Ekong kutoka Super Eagles kufanyiwa Upasuaji Nahodha wa Super Eagles ya NIGERIA, William Troost-Ekong ameripotiwa kuwasili nchini Finland kufanyiwa upasuaji mdogo. William...
CPR ni nini? na kwanini huokoa maisha baada ya mshtuko wa moyo. Hivi karibuni mara nyingi tunasikia habari za hata vijana waliokufa kutokana na mshtuko wa...
Muigizaji wa Smallville Chris Gauthier amefariki akiwa na umri wa miaka 48. Muigizaji wa Kanada Chris Gauthier, anayejulikana sana kwa uigizaji wake katika filamu za Once...
Hii ndyo hali ya Ally Kamwe baada ya kuwaishwa na kulazwa hospitalini. Club ya Yanga imethibitisha kuwa Meneja wake wa Idara ya Habari na Mawasiliano Ally...
Idadi waliofariki dunia kwenye Ajali Arusha yafika 25 Gari la Shule ya Mchepuo wa Kiingereza ya New Vision, likinyanyuliwa baada ya kugongwa na lori katika eneo...
Mwanajeshi Kern Paul kutoka Hungury hakuwahi kulala kwa miaka 40 baada ya kupigwa risasi kichwani wakati wa Vita vya Kwanza vya Dunia. Usingizi ni moja kati...
Watu milioni 41 hufariki kwa mwaka kutokana na magonjwa yasiyoambukiza. Kila Mwaka watu Milioni 41 duniani hufariki kutokana na magonjwa yasiyoambukiza na vifo milioni 17 kati...
Homa ya Lassa yazuka tena nchini Nigeria na kuua,mlipuko mpya watokea jimbo la Rivers. Serikali ya Rivers yathibitisha kuzuka kwa Homa ya Lassa(Lassa fever) Wizara ya...
Aliyekuwa mtangazaji wa kipindi cha mazungumzo cha Marekani Wendy Williams apatikana na tatizo la ubongo Nguli wa kipindi cha mazungumzo cha mchana nchini Marekani, Wendy Williams...
TMA:vipindi vya mvua kubwa vinaweza kujitokeza Kaimu Mkurugenzi wa TMA, Dk Ladislaus Chang’a (kushoto) akitoa taarifa ya uchambuzi wa mwenendo wa mifumo ya hali ya hewa...
Kenya;Bingwa Marathon Kelvin Kiptum afariki kwa kujeruhiwa kichwani Uchunguzi wa maiti umebaini kuwa bingwa wa rekodi ya dunia ya mbio za marathon nchini Kenya Kelvin Kiptum alifariki...
Ugonjwa wa ngozi “Psoriasis” Wakata Nywele za Beyonce Mwanamuziki kutoka nchini Marekani #Beyoncé, ametaja sababu ya kukatika nywele zake akisema anasumbuliwa na ugonjwa wa ngozi unaofahamika...
Gwiji wa Kombe la Dunia la Ujerumani Andreas Brehme, 63, afariki kutokana na mshtuko wa moyo. Gwiji wa Kombe la Dunia la Ujerumani, Andreas Brehme, ambaye...
Mambo ya kuzingatia ili kujikinga na Radi wakati wa mvua. Radi ni umeme unaotoka katika mawingu na hasa Wingu linaloitwa Wingu Anga ambalo lina barafu ndani...