Miili saba wanafunzi yaopolewa Arusha Arusha. Miili saba ya wanafunzi wa Shule ya Msingi Ghati Memorial iliyoko Murieti jijini Arusha imepatikana katika maeneo tofauti na kukamilisha idadi...
Nguli wa mieleka wa Sumo Akebono amekufa. Mcheza mieleka maarufu wa sumo Akebono Taro, ambaye alishinda mashindano makubwa 11 wakati wa uchezaji wake, alikufa kutokana na...
DAR ES SALAAM; WATOTO 50 wenye tatizo la Vichwa vikubwa na Mgongo wazi watafanyiwa upasuaji bure katika kambi maalum itakayofanyika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na...
ZAIDI ya kaya 2,500 katika Kata ya Muhoro, wilayani Rufiji, mkoani Pwani zimeathiriwa na mafuriko yaliyosababishwa na mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali nchini. Imeelezwa kuwa...
Wagonjwa wateseka Kenya,Kisa mgomo wa madaktari Huduma za matibabu maeneo mbali mbali nchini Kenya zimevurugika kufuatia mgomo wa kitaifa wa madaktari wagonjwa wanaotafuta huduma na kutoa...
Zahanati iliyotumia Millioni 100 haijakamilika toka mwaka 2019. Mkuu wa Wilaya ya Geita Hashimu Komba amesikitishwa na kitendo cha ujenzi wa Zahanati iliyopo Kata ya Kasamwa...
BILIONI 37.7 KUSAIDIA KUTOKOMEZA MALARIA 2030 Na. WAF – Dodoma Mchango kutoka kwa wadau wa mfuko wa Afya wa pamoja ikiwemo nchi ya Uswisi, Denmark, Ireland,...
Uhaba wa vifaa wachochea ongezeko la vifo vya watoto Kenya Uhaba wa vifaa vya msingi, maambukizi na ukosefu wa wataalam wa afya vimetajwa kuwa chanzo kikuu...
15 wafariki, mvua zatajwa kiini, wamo watoto Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) David Misime. JUMLA ya watu 15 wamefariki...
Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amesema suala la kurejesha usimamizi TFDA kwa TMDA bado linaendelea kujadiliwa ndani ya Serikali na litakapokamilika mapendekezo ya utekelezaji...
Boti yaua watu 94 waliokuwa wakikimbia mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu Takriban watu 94 wamefariki, 26 hawajulikani waliko nchini Msumbiji baada ya boti isiyokuwa na leseni...
#PICHA:Juliana Germano, mtaalamu wa afya kutoka Chama cha maendeleo ya familia Msumbiji, (AMODEFA) ndani ya kliniki tembezi. Katika maadhimisho ya kuanzishwa kwake hii leo, Shirika la...
Wanaume ‘vinara’ katika uraibu 3,000 wajitokeza kutibiwa MNH IDADI ya wanaume waraibu wa dawa za kulevya ni kubwa zaidi, ikilinganishwa na wanawake. Kati ya waliosajiliwa 3,794...
Zaidi ya watu 3,000 wahitaji ‘dialysis’ kila mwaka Idadi ya watu wenye matatizo ya figo wanaopata huduma ya usafishaji damu ‘dialysis’ katika vituo vinavyotoa huduma hiyo...
TUEPUKE TABIA BWETE KUKABILIANA NA MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA. Na WAF – DODOMA Serikali kupitia Wizara ya Afya imewaasa watumishi wa umma, binafsi na jamii kwa ujumla kuhakikisha...
Mwili uliozuiliwa Bugando kisa deni la Sh18 milioni wazikwa Hatimaye mazishi ya marehemu Juma Jumapili (60) ambaye mwili wake ulizuiwa kutolewa kwa siku kadhaa katika Hospitali...
SERIKALI KUONGEZA VITUO 4 VINAVYOTOA HUDUMA ZA MIONZI KWA WAGONJWA WA SARATANI Na WAF – Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Afya inaendelea na taratibu za uwekezaji...
Usambazaji wa vipimo vya haraka vya uchunguzi ili kuongeza mapambano dhidi ya kipindupindu-WHO Zaidi ya vipimo milioni 1.2 vya uchunguzi wa haraka wa kipindupindu vitasafirishwa kwa...
Mifugo ya mbwa yaonekana kuwa hatari Wizara ya kilimo ya Msumbiji imepiga marufuku uagizaji wa mifugo ya mbwa inayoonekana kuwa hatari. Uamuzi huo unalenga kupambana na...
SHERIA YA BIMA YA AFYA KWA WOTE KUANZA KUTUMIKA KABLA YA MWISHO WA APRIL, 2024 Na. WAF, Dodoma Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amesema...
HUDUMA ZA UTENGAMAO KWA WATOTO WENYE USONJI KUBORESHWA – WAZIRI UMMY Na. WAF – Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Afya imeanza kuchukua hatua madhubuti ili kuongeza...
Serikali ya Taiwan imesema idadi ya watu waliofariki katika tetemeko la ardhi imefikia tisa Serikali ya Taiwan imesema idadi ya watu waliofariki katika tetemeko la ardhi...
BIMA YA AFYA KWA WOTE MWAROBAINI UTEKELEZAJI SERA YA WAZEE. Na WAF, Dodoma Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amesema kuwa kuanza kwa utekelezaji wa...
Nyota wa zamani wa NFL Vontae Davis afariki Beki wa pembeni wa zamani wa NFL Vontae Davis amefariki akiwa na umri wa miaka 35. Davis, ambaye...
Ajali ya Baltimore: Mabaharia 21 bado wamekwama kwenye meli Takriban wiki moja baada ya Daraja kuu la Francis Scott mjini Baltimore kuporomoka nchini Marekani, zaidi ya...
Uume unaoaminika kuwa ni wa Mtoto wakutwa ndani ya chakula. Polisi Nchini Uganda wanawashikilia Watu wawili (Mmiliki wa Mgahawa na Muhudumu) baada ya uume unaoaminika kuwa...
Ripoti ya CAG : mapungufu katika kushughulikia magonjwa ya afya ya akili. Huenda suala la afya ya akili likapata msukumo mpya nchini Tanzania kwa kuongezwa wataalamu...
Mipango ya mazishi ya Mfalme Charles yafichuliwa huku ikionekana saratani yake ni mbaya zaidi na mfalme amepewa “miaka 2 ya kuishi”. Ingawa amekuwa mfalme wa Uingereza...
Mgonjwa awekewa kifaa cha kuusaidia moyo kufanya kazi vizuri “Pacemaker” Mgonjwa aliyefanyiwa uchunguzi katika kambi maalumu ya matibabu ya moyo iliyofanyika mkoani Kagera wiki iliyopita awekewa...
UGANDA: Siku 4 kabla ya uzinduzi wa Kampeni ya Chanjo ya Homa ya Manjano. Chanjo ya Homa ya Manjano itatolewa BURE katika wilaya 53 kote nchini...