Connect with us

News

Wagonjwa wateseka Kenya,Kisa mgomo wa madaktari

Avatar photo

Published

on

Wagonjwa wateseka Kenya,Kisa mgomo wa madaktari

Huduma za matibabu maeneo mbali mbali nchini Kenya zimevurugika kufuatia mgomo wa kitaifa wa madaktari wagonjwa wanaotafuta huduma na kutoa wito kwa serikali kupata suluhu la haraka kuutatua mgomo huo.

Mgomo huu ambao umeathiri hospitali za umma kote nchini Kenya umeibua hali ya mahangaiko miongoni mwa wagonjwa ambao wengi wamelalamikia kukosa huduma hasaa zinazohitaji utaalamu wa madaktari kama vile upasuaji.

Alvester Goldmea na Billy Aoko ni miongoni mwa wagonjwa waliotafuta huduma za matibabu katika hospitali ya rufaa na mafunzo ya Jaramogi Oginga Odinga inayotegemewa sana na wakaazi Magharibi mwa Kenya, wanasema kuna utofauti katika utoaji huduma za matibabu kipini hiki cha mgomo wa madaktari.

Katika hospitali kuu ya Kisumu, Goldmea anasema, “Vyenye nilikuja nikiiangalia na hii ya jana iko tofauti wanakuja kidogo naye Aoko anasema hospitali kuu ya rufaa na mafunzo ya Jaramogii Oginga Odinga,” daktari hajakuja hospitalini hatujahudumiwa bado.”

Mgomo huu unaendelea huku muungano wa kitaifa wa madaktari KMPDU ukishikilia kuwa wanachama wake wataendelea na mgomo huo hadi pale mahitaji yao yatakapoangaziwa mazungomzo kati ya muungano huo na wizara ya afya yakigonga mwamba licha ya kukutana na waziri Susan Nakhumicha.

Baadhi ya yanayoshinikiza ni kuangaziwa upya marupurupu ya madaktari walio kwenye mafunzo ya nyanjani, utekelezwaji na jumla makubaliano ya mwaka 2017 yaliyolenga kuimarisha maslahi ya madaktari ikiwemo mishahara yao anavyoelezea katibu mkuu muungano wa madaktari KMPDU Dkt. Davji Atellah, “Mgomo ungalipo, tutaishia kuchosha kurudia maana tutakuwa katika hali hii kwa muda mrefu sana, tunalenga huu kuwa mgomo wetu wa mwisho wa mwongo huu.

Wizara ya afya hata hivyo imeratibu kuwasilisha madaktari wa nyanjani katika hospitali za umma nchini kuanzia tarehe mosi mwezi Aprili ili kutimiza mojawapo ya hitaji linaloshinikizwa na muungano wa KMPDU ambao unashikilia kuwa, ahadi hii itazingatiwa tu baada ya utekelezwaji wake.

Wizara ya afya ya kitaifa imeahidi kuangaziwa tatizo la mgomo wa madaktari kupitia kushirikishwa kwa washikadau muhimu kwenye asasi za serikali kauli ambayo imetolewa na waziri wa afya ya kitaifa Susan Nakhumicha, “Ni mambo ambayo yanashirikisha wizara ya elimi, Baraza la magavana, huduma ya uma, tume ya uratibu mishahara ya ummaa SRC, wizara ya afya, mkuu wa huduma za umma na  tunafurahi kuyapelekwa huko.”

Miongoni mwa asasi zilizochukua hatua kwa mgomo wa madaktari ni baadhi ya serikali za kaunti mfano jimbo la Kisii ambalo liliwasilisha hoja ya kupigwa marufuku madaktari jimbo hilo kushiriki mgomo mahakama ya leba ikiidhinisha ombi hilo,  serikali jimbo la Kisumu pia limetaja mgomo huo kuwa kinyume cha Sheria.

Credits; Source Info|

•Dw_Swahili

YOU MUST READ(IMPORTANT)

Magonjwa4 weeks ago

Maumivu chini ya kitovu ni dalili za ugonjwa gani

Maumivu chini ya kitovu ni dalili za ugonjwa gani. Watu wengi huweza kupata maumivu chini ya kitovu, lakini umewahi kujiuliza...

Magonjwa1 month ago

Kaswende ni ugonjwa gani, soma hapa kufahamu

Kaswende ni ugonjwa gani, Kaswende ni maambukizi yanayosababishwa na bakteria. Mara nyingi, huenea kupitia mawasiliano ya kingono au kwa kujamiiana....

Magonjwa2 months ago

Koo kukauka ni dalili ya ugonjwa gani

Koo kukauka ni dalili ya ugonjwa gani Koo kukauka kunaweza kusababishwa na sababu kadhaa, ikiwa ni pamoja na: Upungufu wa...

Magonjwa2 months ago

Amiba ni ugonjwa gani,Fahamu kuhusu Ugonjwa wa Amebiasis

Amiba ni ugonjwa gani Wengi wamezoea kusema hivo ila Amiba(amoeba) ni vimelea vyinavyosababisha ugonjwa, na Ugonjwa huo kitaalam ndyo hujulikana...

Magonjwa3 months ago

kuwashwa nyayo za miguu husababishwa na nini? chanzo na Tiba

kuwashwa nyayo za miguu husababishwa na nini? chanzo na Tiba kuwashwa nyayo za miguu; zipo sababu nyingi ambazo huchangia shida...

magonjwa ya wanawake4 months ago

Ujue Ugonjwa Wa PID (Pelvic Inflammatory Disease)

Ujue Ugonjwa Wa PID (Pelvic Inflammatory Disease) Pid ni ugonjwa gani? PID ni Maambukizi ya bacteria Kwenye Via vya Uzazi...

Magonjwa2 years ago

SHINGO YA MTOTO KULEGEA(CHANZO CHAKE)

SHINGO YA MTOTO KULEGEA(CHANZO CHAKE) Mabadiliko ya Watoto wengi huanza kwenye miezi mitatu ya Mwanzo wakati ambapo Shingo ya mtoto...

Magonjwa3 years ago

MAUMIVU MAKALI SEHEMU YA HAJA KUBWA

Baadhi ya watu wanachanganya tatizo la maumivu makali sehemu ya haja kubwa pamoja na tatizo la Bawasiri,japo mojawapo ya chanzo...

Magonjwa3 years ago

TATIZO LA MASIKIO KUPIGA KELELE,CHANZO NA TIBA YAKE(Tinnitus)

TATIZO LA MASIKIO KUPIGA KELELE,CHANZO NA TIBA YAKE(Tinnitus) tatizo la masikio kupiga kelele Tinnitus, ni Tatizo la masikio kupiga kelele,...

Magonjwa3 years ago

DALILI ZA UGONJWA WA GONO(KISONONO)

 UGONJWA WA KISONONO DALILI ZA UGONJWA WA GONO(KISONONO) Ugonjwa wa gonorrhea maarufu kama GONO au Kisonono ni ugonjwa wa zinaa...

Magonjwa3 years ago

TATIZO LA UKE KUJAMBA PAMOJA NA TIBA YAKE(chanzo cha tatizo hili ni nini?)

Tatizo la Uke Kujamba TATIZO LA UKE KUJAMBA PAMOJA NA TIBA YAKE(chanzo cha tatizo hili ni nini?) Moja ya vitu...

Magonjwa3 years ago

DALILI ZA FANGASI UUMENI,KORODANI PAMOJA NA MATIBABU YAKE

 FANGASI • • • • • DALILI ZA FANGASI UUMENI,KORODANI PAMOJA NA MATIBABU YAKE Mashambulizi ya Fangasi sehemu za siri...

Magonjwa3 years ago

CHANZO CHA TATIZO LA KUOTA NYAMA PUANI PAMOJA NA MATIBABU YAKE

Chanzo cha tatizo la NYAMA PUANI,Dalili zake Pamoja na Tiba yake, Soma makala hii kwa Makini ili upate Kujua kuhusu...

Magonjwa3 years ago

SABABU ZA KUVIMBA KWA MASHAVU YA UKE(TEZI LA BARTHOLIN)

KUVIMBA MASHAVU YA UKE • • • • • • Katika Makala hii tumechambua zaidi kuhusu sababu za kuvimba mashavu...

Magonjwa3 years ago

TATIZO LA MWANAUME KUOTA MATITI(gynecomastia)

TATIZO LA MWANAUME KUOTA MATITI(gynecomastia) Tatizo hili linatokea kwa Baadhi ya wanaume,na hata kupelekea Wanaume hao kuwa na Matiti kama...

MAGONJWA MBALI MBALI

Magonjwa1 day ago

Chanzo cha tatizo la NYAMA PUANI,Dalili zake Pamoja na Tiba yake

Chanzo cha tatizo la NYAMA PUANI,Dalili zake Pamoja na Tiba yake, Soma makala hii kwa Makini ili upate Kujua kuhusu...

Magonjwa2 days ago

Ugonjwa unaosababishwa na kula nyama mbichi

Ugonjwa unaosababishwa na kula nyama mbichi Madhara ya kula nyama ya ng’ombe mbichi Ni desturi ya baadhi ya watu kula...

Magonjwa1 week ago

Mkojo kuuma ni dalili ya ugonjwa gani

Mkojo kuuma ni dalili ya ugonjwa gani Mkojo kuuma au kupata maumivu wakati wa kukojoa ni hali ambayo kwa kitaalam...

Magonjwa1 week ago

Ugonjwa wa gonorrhea maarufu kama GONO au Kisonono dalili Zake

 UGONJWA WA KISONONO DALILI ZA UGONJWA WA GONO(KISONONO) Ugonjwa wa gonorrhea maarufu kama GONO au Kisonono ni ugonjwa wa zinaa...

Magonjwa2 weeks ago

Maana ya hiv negative,Soma hapa kufahamu

Maana ya hiv negative,Soma hapa kufahamu Haya ni maneno ambayo umekuwa ukiyasikia sana linapokuja swala la vipimo cha UKIMWI, je...

Magonjwa3 weeks ago

Kama ndiyo Umegunduliwa ugonjwa wa Kisukari,Soma hii itakusaidia

Kama ndiyo Umegunduliwa ugonjwa wa Kisukari,Soma hii itakusaidia. Kutana na Ilene Raymond Rush ambaye aligunduliwa Kisukari aina ya Pili(Type 2...

Magonjwa3 weeks ago

Ugonjwa unaosababishwa na konokono

Ugonjwa unaosababishwa na konokono Ugonjwa unaosababishwa na konokono unaitwa schistosomiasis, au bilharzia. Ni ugonjwa wa maambukizi unaosababishwa na minyoo wanaoitwa...

Magonjwa3 weeks ago

Ugonjwa wa Pink Eye,chanzo,dalili na Matibabu yake

Ugonjwa wa Pink Eye,chanzo,dalili na Matibabu yake. Wengi tumesikia kuhusu Red Eyes(Macho mekundu) Lakini je umewahi kusikia kuhusu Pink Eyes,?...

Magonjwa3 weeks ago

Omeprazole inatibu ugonjwa gani,Fahamu hapa

Omeprazole inatibu ugonjwa gani Omeprazole inatibu ni nini?, Hili ni swali ambalo limekuwa likiulizwa mara kwa mara na wafwatiliaji wengi...

Magonjwa4 weeks ago

Mate kujaa mdomoni ni dalili ya ugonjwa gani

Mate kujaa mdomoni ni dalili ya ugonjwa gani Mate kujaa Mdomoni,ni tatizo ambalo hutokea kwa baadhi ya watu, na zipo...