WAGONJWA WENGI WANASTAHILI HUDUMA ZA KIBINGWA Na WAF, Ikungi-Singida Wakati mahitaji ya huduma za afya zinazidi kuongezeka, wagonjwa wengi katika Wilaya ya Ikungi wanaonekana kustahili na...
Boston, Massachusetts, USA “Bw Slayman,Mwanamume wa kwanza kupandikizwa figo ya nguruwe iliyobadilishwa vinasaba amefariki miezi miwili baada ya upasuaji huo, hospitali iliyotekeleza utaratibu huo imesema. Richard...
Watu saba wamefariki dunia na wengine sita kujeruhiwa mkoani Morogoro baada ya magari mawili kugongana uso kwa uso katika eneo la Dakawa wilayani Mvomero. Mabaki ya...
Wajawazito 43,323 wagundulika kuwa na VVU Takwimu za Wizara ya Afya zinaonesha jumla ya Vituo 7,830 sawa na 96% ya Vituo 8,164 vinavyotoa Huduma za Afya...
Sindano ya kupunguza uzito ‘inaweza kupunguza mshtuko wa moyo Sindano iliyoundwa kukabiliana na unene wa kupindukia inaweza kupunguza hatari ya mshtuko wa moyo na kiharusi kwa...
Ujio wa chombo muhimu cha kudhibiti ukuaji holela wa gharama za afya kwa wananchi. WAKATI Waziri wa Afya akiwasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya bajeti...
El Niño yapelekea ongezeko la viwango vya njaa na utapiamlo Malawi #PICHA:Majaribio ya upandaji maharagwe yanayostahimili ukame nchini Malawi. (Maktaba) Takriban watu milioni tisa nchini Malawi...
BUNGE LAPITISHA BAJETI YA WIZARA YA AFYA KWA KISHINDO Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeridhia na kupitisha kwa kishindo Bajeti ya Wizara ya Afya...
Mfalme Charles kupoteza hisia ya ladha wakati wa matibabu ya saratani Mfalme Charles amefunguka kuhusu kupoteza hisia ya ladha alipokuwa akizungumzia madhara ya matibabu ya saratani....
ASILIMIA 77.5 YA KAYA ZOTE NCHINI ZINATUMIA VYOO BORA Kaya zenye vyoo bora zimeongezeka hadi kufikia kaya 7,775,181 ikiwa ni sawa na asilimia 77.5 katika kipindi...
Mwaka 2023:Watu 8,145,576 walipima Virusi vya UKIMWI (VVU) Wizara ya Afya imesema kati ya Watu waliopima mwaka 2023, Watu 163,131 walingundulika kuwa na maambukizi ya VVU...
Saratani ya uume inaonekana kuongezeka kwa kiwango cha kutisha katika miaka ya hivi karibuni. Mwaka 2018, João, mwenye umri wa miaka 63, alianza kugundua maumivu kwenye...
#PICHA:Waziri wa Afya Ummy Mwalimu, akionesha vitabu wakati wa hafla ya ugawaji wa vitabu vya kufuatilia maendeleo ya mama mjamzito na watoto chini ya miaka mitano....
Chanzo cha Kutokwa na malengelenge mwilini Kutokwa na malenge mwilini ni neno linalomaanisha kutokwa na upele kwenye ngozi ambao ukipasuka au kupasuliwa hutoa majimaji. Vipele vya...
Majokofu ya nyumbani yabainika kuhifadhia damu Korogwe. Aprili 10, 2024 ilibainika ukiukwaji wa manunuzi ya vifaatiba ikiwemo majokofu mawili ya kuhifadhia damu katika kituo cha afya...
Hivi ni vidokezo rahisi vya kufuata ili kudhibiti Presha yako/Shinikizo la Damu; 1. Epuka Matumizi ya Pombe 2. Epuka ulaji wa vyakula vya Chumvi nyingi au...
WHO yatoa mwongozo mpya kupunguza maambukizi kwenye matumizi ya katheta #PICHA: Muhudumu wa afya akimuhudumia mgonjwa katika kituo cha matibabu ya kipindupindu Malawi Je wajua kuwa...
ORODHA YA DAWA 178 ZILIZOJUMUISHWA KATIKA KITITA KWA KUZINGATIA NGUVU, MUUNDO NA MUUNGANIKO.
Mafuriko Afrika Mashariki na Pembe ya Afrika yaathiri watu 637,000 IOM na Shirika la Msalaba mwekundu Kenya, kwa mchango wa ukarimu kutoka Japani wanasaidia watu waliohamishwa...
WHO, mashirika 11 yaungana kuboresha huduma za afya Mwakilishi Mkazi wa WHO Tanzania Dk Charles Moses katikati akisaini makubaliano ya kushirikiana na Mkurugenzi Mkazi wa Shirika...
Kwanini baadhi ya watu wana tabia ya kupenda kula kula? Je, umewahi kula vitafunio, hata baada ya kushiba, kwa ajili tu ya kujifurahisha? Ikiwa ndivyo, unaweza...
Yemen: Wakunga ni matumaini kwa wajawazito na watoto wachanga licha mzozo na janga la tabianchi UNFPA ilikarabati kituo cha afya cha Shahir mwaka wa 2021 kwa...
Mtoto mwenye Ualbino anusurika kifo Geita. Mtoto mwenye ualbino, Kazungu Julius (9) ambaye ni mwanafunzi wa darasa la nne katika Shule ya Msingi Katoro wilayani Geita...
Wagonjwa wa moyo kutoka Sierra Leone kutibiwa Tanzania Ujumbe wa wataalamu wa Wizara ya Afya kutoka Sierra Leone, wameingia makubaliano na Taasisi ya Moyo ya Jakaya...
kuleta mabadiliko vita dhidi ya Malaria Kusini mwa Jangwa la Sahara Rais Mstaafu, Dk Jakaya Kikwete akizungumza katika mkutano wa tatu wa Baraza la Kumaliza Malaria....
FAHAMU:Parachichi Linaweza kusaidia afya ya moyo, Parachichi lina mafuta mengi asilia yanayoweza kukulinda dhidi ya magonjwa ya moyo. 1.Parachichi linatajwa kama tunda lenye virutubisho vingi, Parachichi...
MATIBABU YA ULOTO YA BMH YAZUNGUMZIWA BARAZA LA MAWAZIRI EAC Akifungua Mkutano wa Kawaida wa 24 wa Baraza la Mawaziri wa Sekta ya Afya EAC, Waziri...
#PICHA:Wafanyakazi wa Shirika la Msalaba Mwekundu nchini Kenya wakiwa katika harakati za uokoaji kufuatia mafuriko. MAMLAKA nchini Kenya zimesema kuwa idadi ya watu waliofariki kufuatia mafuriko...
UTAFITI: Waishio kando ya Bahari wana afya bora Kwa mujibu wa utafiti uliyofanywa na Dk Lewis Elliott kutoka Chuo Kikuu cha Exeter nchini Uingereza umebaini kuwa...
#PICHA:Wakunga kisiwani Zanzibar wakifurahia wakati wa maadhimisho ya siku ya wakunga duniani yaliyofanyika mjini Unguja. Kwa mujibu wa miongozo ya afya, mkunga mmoja anatakiwa kuhudumia mjamzito...