Linapokuja suala la afya ya wanaume, saratani ya Tezi dume inachukua nafasi kubwa. Ni aina ya pili ya saratani inayogunduliwa kwa wingi kwa wanaume duniani kote,...
Saratani ya tezi dume janga kwa dunia hadi 2040. Ongezeko linaloweza kuepukika la saratani ya tezi dume linakuja, na kuongezeka maradufu kwa wagonjwa ulimwenguni kote hadi...
Utafiti mpya juu ya saratani ya Tezi Dume unaweza kusababisha utambuzi bora na matibabu mazuri Zaidi. Watafiti wanasema; Teknolojia ya artificial intelligence imewasaidia kugundua aina ndogo...