Tatizo la wajawazito kupoteza maisha kwa kutokwa na damu nyingi baada ya kujifungua, limetajwa katika mkutano wa kanda wa kuimarisha mbinu za kuzuia na kudhibiti tatizo...
Kutokwa damu nyingi baada ya kujifungua, kitaalamu huitwa Postpartum Haemorrhage (PPH), ni mojawapo ya dharura kubwa za uzazi zinazoweza kuhatarisha maisha ya mama ndani ya muda...
Kupungua kwa Huduma za Kuzuia Maambukizi ya HIV kutoka kwa Mama kwenda kwa Mtoto: Wasiwasi wa Huduma za Afya Afrika Maambukizi ya Virusi vya UKIMWI (HIV)...
Mambo ambayo mama anayenyonyesha huweza kuyapitia kwenye Kipindi hiki. Fahamu kipindi Mama ananyonyesha Mtoto, Mwili wa mama hutoa maziwa kila mara huku pia ukipona baada ya...
Mimba ya mapacha inaweza kuendelea vizuri na watoto wakazaliwa wakiwa salama. Hata hivyo, ikilinganishwa na mimba ya mtoto mmoja, mimba ya mapacha ina hatari kubwa zaidi...
Mama mjamzito akiwa na mimba ya miezi 8 anaruhusiwa kusafiri safari ndefu ya masaa zaidi ya 24? Ndiyo, mama mwenye mimba ya miezi 8 anaweza kusafiri,...
Mimba kutunga nje ya kizazi (ectopic pregnancy) ni hali ambayo mimba inajipandikiza nje ya sehemu ya kawaida ya kizazi,Mara nyingi mimba hii hutokea kwenye mrija wa...
Ucheleweshaji wa huduma ndani ya vituo vya afya umeonekana kuwa moja ya sababu kubwa zinazochangia vifo vya wajawazito na watoto wachanga nchini Kenya. Hii ni hali...
Madhara ya Sindano ya Depo (Depot Medroxyprogesterone Acetate – DMPA) Sindano ya Depo-Provera (Depot Medroxyprogesterone Acetate – DMPA) ni mojawapo ya njia za uzazi wa mpango...
Umri wa mtoto kuanza kukaa Mtoto anaanza kukaa miezi mingapi? soma hapa kufahamu HATUA ZA UKUAJI WA MTOTO BAADA YA KUZALIWA Zifahamu hatua mbali mbali za...