Connect with us

Patient Stories

Aliyekaa zaidi ya miezi minne bila kula kutokana na Uvimbe kooni amefariki dunia

Avatar

Published

on

Aliyekaa zaidi ya miezi minne bila kula kutokana na Uvimbe kooni amefariki dunia

Hassan Bryton (56), mkazi wa Mkata wilayani Kilosa mkoani Morogoro aliyegusa hisia za wengi baada ya kukaa zaidi ya miezi minne bila kula kutokana na uvimbe kwenye koo, amefariki dunia Oktoba 16, 2026.

Kifo chake kimetokea kabla ya kufanikisha safari ya kwenda kupatiwa matibabu ya kibingwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH).

Kabla ya kufariki, marehemu alikuwa akitegemea dripu kuishi huku vyombo mbalimbali vya habari vikipaza sauti ya kuomba msaada wa fedha za matibabu, jambo lililowagusa Watanzania wengi na kuanza kujitokeza kuchangia ili kuokoa uhai wake.

Kufuatia kifo hicho, michango iliyokusanywa ilielekezwa kwenye kugharamia shughuli za mazishi yaliyofanyika Oktoba 17, 2026 katika makaburi ya Mtaa wa Mgaza, Morogoro, ambapo dada yake, Amina Malenda, ametoa shukrani za dhati kwa Watanzania wote walioguswa na msiba huo.

✚

Ushauri,Elimu,Tiba

Medical Consultation: Karibu afyaclass Kwa Ushauri na Tiba, Kama una Tatizo lolote la kiafya, tafadhali Wasiliana na Daktari moja kwa moja hapa || Call au Sms(+255758286584) au Whatsapp.

Je, unahitaji ushauri binafsi au matibabu ya tatizo lolote?

💬 Wasiliana na Daktari Hapa(Whatsapp)

Karibu Afyaclass Jukwaa linaloongoza kwa utoaji wa elimu sahihi ya Afya. Hapa utapata Elimu na Updates mbali mbali za Afya Duniani. Pia Pata dondoo za afya kila siku kwa kufuatilia kupitia Mitandao hii hapa: @Facebook | @Instagram | @YouTube.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Guest Avatar

LATEST POSTS

magonjwa6 hours ago

Maambukizi ya bakteria wa shigella: dalili, njia za maambukizi, Matibabu Na Kinga

Shigella ni aina ya bakteria wanaosababisha ugonjwa unaojulikana kama shigellosis, ambao huathiri mfumo wa mmeng’enyo wa chakula, hasa utumbo mpana....

magonjwa ya wanaume2 days ago

Mwanaume kushindwa kutungisha mimba

Tumezoea kwenye jamii Zetu Mara nyingi linapokuja Swala la kutokupata Mtoto,Lawama zote ni kwa Mwanamke,Lakini fahamu hata mwanaume anaweza kuwa...

Stars Health1 day ago

Papa aanza kurejea taratibu katika majukumu yake baada ya upasuaji wa Saratani ya Mapafu

Vatican, Oktoba 18, 2026 — Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa, Papa Leo, kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani mwenye umri wa...

Patient Stories2 days ago

Aliyekaa zaidi ya miezi minne bila kula kutokana na Uvimbe kooni amefariki dunia

Aliyekaa zaidi ya miezi minne bila kula kutokana na Uvimbe kooni amefariki dunia Hassan Bryton (56), mkazi wa Mkata wilayani...

Afya News2 days ago

Ongezeko la VVU Morogoro wageni watajwa kama Sababu

Ongezeko la VVU Morogoro wageni watajwa kama Sababu MOROGORO; Katibu Tawala Mkoa wa Morogoro, Dk Mussa Ali Mussa amesema ongezeko...

Ebola2 days ago

Visa vya Ugonjwa wa Ebola vyaongezeka nchini Kenya na kufikia nane

Visa vya Ugonjwa wa Ebola vyaongezeka nchini Kenya na kufikia nane Kenya imethibitisha kisa kipya cha ugonjwa wa Ebola, na...

Ebola3 days ago

Kenya yathibitisha visa vingine vinne(4) vipya vya Ebola, idadi yafikia saba

KENYA YATHIBITISHA VISA VINNE VIPYA VYA EBOLA, IDADI YAFIKIA SABA Wizara ya Afya nchini Kenya imethibitisha visa vinne vipya vya...

Afya News4 days ago

Mlipuko wa Surua: Marekani Yaripoti Zaidi Ya Visa 4,000 MWAKA 2026

Mlipuko wa Surua: Marekani Yaripoti Zaidi Ya Visa 4,000 MWAKA 2026 Surua ni ugonjwa wa kuambukiza unaosababishwa na virusi vya...

Saratani4 days ago

Saratani ya Utumbo Mpana,Dalili za Saratani ya Utumbo mpana na Chanzo chake

SARATANI YA UTUMBO MPANA: NI NINI, CHANZO CHAKE, DALILI NA NAMNA YA KUJIKINGA? Saratani ya utumbo mpana ni nini? Saratani...

magonjwa4 weeks ago

Madhara ya malaria,Fahamu hapa madhara ya Ugonjwa wa Malaria

Madhara ya Ugonjwa wa malaria Malaria ni ugonjwa unaosababishwa na vimelea aina ya Plasmodium na huenezwa hasa kwa kuumwa na...