LEO ni Siku ya Malaria Duniani ambayo imekuwa ikiadhimishwa kila mwaka tangu ilipoanzishwa na nchi wanachama wa Shirika la Afya Duniani (WHO) mwaka 2007 wakati wa...
Mloganzila kuanzisha huduma ya upandikizaji wa ini Daktari Bingwa Bobezi wa upasuaji ambaye pia amebobea katika masuala ya upandikizaji wa ini kutoka Hospitali za HGC, Dkt....
TMA yatoa taarifa ya matarajio ya hali mbaya ya hewa kwa siku tano kuanzia Jumatano Aprili 24, 2024 saa 9.30 mchana. Mamlaka ya Hali ya Hewa...
Mlipuko wa homa ya Nyani watokea tena, Chukua tahadhari Kufuatia uwepo wa taarifa za visa 19 vilivyothibitishwa katika miji mitano ikiwa ni pamoja na jiji la...
Watoto wa kike milioni 5 nchini Tanzania kupatiwa chanjo dhidi ya saratani ya shingo ya kizazi- WHO #PICHA: Uzinduzi wa kampeni ya siku 5 ya kitaifa...
Jumla ya watu 391 wamekufa kutokana na Kipindupindu na ugonjwa wa Dengue katika mwaka wa vita nchini Sudan, Wizara ya Afya ya Sudan ilitangaza siku ya...
SERIKALI imesema wananchi 273,159 hawana makazi kutokana na mvua inayoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali nchini. Kadhalika, viongozi wa dini wataondoka leo na treni ya kisasa (SGR)...
WATOTO 25 WENYE VICHWA VIKUBWA NA MGONGO WAZI WAFANYIWA UPASUAJI AWAMU YA KWANZA YA KAMBI YA MATIBABU MOI Na Abdallah Nassoro-MOI Watoto 25 wenye vichwa vikubwa...
Shisha kwa vijana na hatari ya kupata ugonjwa wa kifua kikuu Ni kawaida siku hizi katika kumbi za starehe mijini kukuta mitungi ya shisha juu ya...
Tafiti zinaonesha 90% ya Watu hawajui kama Figo zao zina matatizo huku 40% wakifika Hospitali wakati Ugonjwa ukiwa hatua ngumu na za mwisho kutibika na hauwezi...