Mlipuko wa homa ya Nyani watokea tena, Chukua tahadhari Kufuatia uwepo wa taarifa za visa 19 vilivyothibitishwa katika miji mitano ikiwa ni pamoja na jiji la...
Wiki ya Kimataifa ya Chanjo yaanza leo 24 hadi 30 Aprili Wiki ya Kimataifa ya Chanjo ambayo huadhimishwa katika kila wiki ya mwisho ya mwezi Aprili,...
Watoto wa kike milioni 5 nchini Tanzania kupatiwa chanjo dhidi ya saratani ya shingo ya kizazi- WHO #PICHA: Uzinduzi wa kampeni ya siku 5 ya kitaifa...
#Kenya: Chama cha madaktari na matabibu nchini Kenya, KMPDU kimesema kwamba “hakitalegeza msimamo wake” wala kuridhia kurejea kazini hadi pale hatima ya madaktari wanafunzi itakapojulikana. Kufuatia...
Mate kujaa mdomoni ni dalili ya ugonjwa gani Mate kujaa Mdomoni,ni tatizo ambalo hutokea kwa baadhi ya watu, na zipo sababu mbali mbali zinazosababisha tatizo hili...
Tupunguze matumizi ya pombe isiyozimuliwa ili kukabiliana na magonjwa yasiyoambukiza. Na WAF – Dar es Salaam Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amesema kuwa iwapo jamii...
Beki wa Super Falcons, Plumptre afanyiwa upasuaji. Beki wa Super Falcons, Ashleigh Plumptre amefanyiwa upasuaji ambao umeenda kwa mafanikio nchini Saudi Arabia. Plumptre alipata jeraha hilo...
Glaucoma: Ugonjwa hatari unaopoteza nuru ya macho Kuna magonjwa mengi yanayohusiana na macho, mengi yanatibika lakini kuna baadhi ya magonjwa ni vigumu kutibika. Glaucoma ni ugonjwa...
Jumla ya watu 391 wamekufa kutokana na Kipindupindu na ugonjwa wa Dengue katika mwaka wa vita nchini Sudan, Wizara ya Afya ya Sudan ilitangaza siku ya...
SERIKALI imesema wananchi 273,159 hawana makazi kutokana na mvua inayoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali nchini. Kadhalika, viongozi wa dini wataondoka leo na treni ya kisasa (SGR)...