Wanaojifungua Watoto Njiti kuongezewa muda wa likizo ARUSHA: MAKAMU wa Rais, Dk Philip Mpango amewataka waajiri nchini kuwapa muda zaidi wa likizo wafanyakazi wanaojifungua watoto njiti ili...
Mfalme Charles akiwa kwenye Ziara yake ya kwanza ya umma tangu alipogunduliwa saratani. Mfalme Charles, ambaye alikuwa kwenye mapumziko katika majukumu ya kifalme ili kuzingatia afya...
Serikali kupitia Wizara ya Afya imesema tayari bunge limepitisha Sheria ya Udhibiti wa Tumbaku ijulikanayo kama “The Tobacco Products (Regulation) Act, 2003” ambayo imetoa katazo la...
Uingereza yaongoza matumizi ya Pombe kwa Watoto. Theluthi moja ya watoto wenye umri wa miaka 11 na zaidi ya nusu ya watoto wa umri wa miaka...
Serikali kupitia Wizara ya Afya imesema tayari bunge limepitisha Sheria ya Udhibiti wa Tumbaku ijulikanayo kama “The Tobacco Products (Regulation) Act, 2003” ambayo imetoa katazo la...
Mhogo Una faida gani kiafya? Soma hapa Jules Kouassi, Daktari wa Afya ya Umma na mtaalamu wa lishe, kutoka Ivory Coast, anasema muhogo ni chakula muhimu,...
Gharama za upasuaji wa kurekebisha maumbile zinaanzia Sh15 milioni hadi Sh22.5 milioni. Wakati Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila ikitarajia kufanya upasuaji wa kurekebisha maumbile Mei 2024, imeelezwa...
Zaidi ya watu 45 wamefariki dunia nchini Kenya baada ya bwawa kupasua kingo zake kufuatia mvua kubwa na mafuriko, maafisa wamesema. Watu katika vijiji karibu na...
Maporomoko ya matope kutoka Mlima Kabumbilo hadi mwalo wa Kabumbilo yalianza kujitokeza Aprili 17, 2024 na awali iliripotiwa kwamba nyumba moja na ekari 10 za mashamba...
Mwanamtandao maarufu wa TikTok Nchini Iraq auawa kwa Risasi Mwanamtandao maarufu wa TikTok Nchini Iraq aitwaye Ghufran Sawadi maarufu kama Om Fahad, ameuawa kwa risasi nje...