TANZIA:Boaz Sanga,Mwanachuo St. Augustine (SAUT) afariki kwa kuzama Ziwa Viktoria. Mwanachuo wa mwaka wa kwanza wa Chuo cha St. Augustine (SAUT), Mwanza, Boaz Sanga amefariki dunia...
Historia:Mvumbuzi wa kwanza wa Taulo za kike (pads) Huyu ndio Mwanamke wa kwanza kugundua taulo za kike Maisha ya sasa siyo sawa na ya zamani, wakati...
Nyota wa kike wa mpira wa kikapu, Brittney Griner afichua kwamba alifikiria kujiua alipokuwa amefungwa jela nchini Urusi. Nyota huyo wa WNBA Brittney Griner alisema alifikiria...
TMA: Tahadhari juu ya Upepo mkali kutokea Leo,uwepo wa mgandamizo mdogo wa hewa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa taarifa ya uwepo wa mgandamizo...
WHO Ripoti mpya: kuna uhusiano wa COVID-19 na unene au utipwatipwa kwa Watoto Ripoti mpya iliyotolewa leo na shirika la afya la duniani WHO imesema kuna...
WATAALAM WA MAGONJWA YA NDANI WAJENGEWA UWEZO MUHIMBILI Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa kushirikiana na Chama cha Madaktari Bingwa wa Magonjwa ya Ndani pamoja na Hospitali...
Wanaojifungua Watoto Njiti kuongezewa muda wa likizo ARUSHA: MAKAMU wa Rais, Dk Philip Mpango amewataka waajiri nchini kuwapa muda zaidi wa likizo wafanyakazi wanaojifungua watoto njiti ili...
Mfalme Charles akiwa kwenye Ziara yake ya kwanza ya umma tangu alipogunduliwa saratani. Mfalme Charles, ambaye alikuwa kwenye mapumziko katika majukumu ya kifalme ili kuzingatia afya...
Serikali kupitia Wizara ya Afya imesema tayari bunge limepitisha Sheria ya Udhibiti wa Tumbaku ijulikanayo kama “The Tobacco Products (Regulation) Act, 2003” ambayo imetoa katazo la...
Uingereza yaongoza matumizi ya Pombe kwa Watoto. Theluthi moja ya watoto wenye umri wa miaka 11 na zaidi ya nusu ya watoto wa umri wa miaka...