Connect with us

Afrika hujumuisha asilimia 95 ya wagonjwa wa malaria duniani;WHO

Nchi zinazokabiliwa Zaidi na Vifo na milipuko ya ugonjwa wa Malaria kama vile Uganda, zimefaulu angalau kwa kiwango fulani. Wakati…

Mipango ya mazishi ya Mfalme Charles yaharakishwa kufuatia ripoti kuwa “hayuko sawa” anapopambana na saratani

Mipango ya mazishi ya Mfalme Charles yaharakishwa kufuatia ripoti kuwa “hayuko sawa” anapopambana na saratani. Afya ya Mfalme Charles III…

Mtoto aliyeokolewa kutoka tumboni mwa mamake afariki

Mtoto aliyeokolewa kutoka tumboni mwa mamake aliyeuawa Gaza Afariki. Mtoto aliyeokolewa kutoka tumboni mwa mamake aliyekuwa mahututi baada ya shambulizi…

Matumizi makubwa ya dawa za Antibiotics kipindi cha COVID-19,hatari ya kuongeza Usugu

Matumizi makubwa ya dawa za Antibiotics kipindi cha COVID-19,hatari ya kuongeza Usugu. Ushahidi mpya uliotolewa na shirika la afya ulimwenguni,…

Omeprazole inatibu ugonjwa gani,Fahamu hapa

Omeprazole inatibu ugonjwa gani Omeprazole inatibu ni nini?, Hili ni swali ambalo limekuwa likiulizwa mara kwa mara na wafwatiliaji wengi…

Kuongeza Nguvu Katika Mapambano Dhidi ya Malaria

LEO ni Siku ya Malaria Duniani ambayo imekuwa ikiadhimishwa kila mwaka tangu ilipoanzishwa na nchi wanachama wa Shirika la Afya…

Bibi apandikizwa figo ya nguruwe pamoja na moyo wa bandia

Bibi apandikizwa figo ya nguruwe pamoja na moyo wa bandia Bibi mmoja mwenye umri wa miaka 54 amefaulu kupokea upandikizaji…

Umri wa mtoto kuota meno pamoja na dalili zake,fahamu Zaidi hapa

Umri wa mtoto kuota meno pamoja na dalili zake,fahamu Zaidi hapa Umri wa kuota meno ya kwanza kwa mtoto Muda…

Mloganzila kuanzisha huduma ya upandikizaji wa ini

Mloganzila kuanzisha huduma ya upandikizaji wa ini Daktari Bingwa Bobezi wa upasuaji ambaye pia amebobea katika masuala ya upandikizaji wa…

TMA yatoa taarifa ya matarajio ya hali mbaya ya hewa

TMA yatoa taarifa ya matarajio ya hali mbaya ya hewa kwa siku tano kuanzia Jumatano Aprili 24, 2024 saa 9.30…

More Posts/Articles