Connect with us

DAWA

Dawa ya Kuzuia KUKOROMA Usiku ukiwa Umelala

Doctor Ombeni

Published

on

 Dawa ya Kuzuia KUKOROMA Usiku ukiwa Umelala/Usingizini,Pamoja na Chanzo

Baadhi ya watu hupatwa sana na tatizo hili la Kukoroma wakiwa wamelala mpaka kufikia hatua ya kujichukia,

Je chanzo cha Hali hii ni nini? Soma zaidi hapa..!!!

SABABU ZA KUKOROMA USINGIZINI

Hali hii hutokea pale ambapo kuna sababu au kitu chochote ambacho kimesababisha hewa isipite vizuri ukiwa umelala,

Ndipo kuta za koo hutikisika wakati wa kupumua na matokeo yake ni mtu kukoroma,

Kuna baadhi ya sababu mbali mbali huweza kusababisha mtu kukoroma akiwa usingizi,na baadhi ya sababu hizo ni kama vile;

– Kuwa mnene kupita kawaida,au mtu mwenye uzito mkubwa sana

– Kuziba kwa tundu za pua hali ambayo husababisha mtu kutumia nguvu sana kwenye kuvuta na kutoa hewa

– Wengine huanza kukoroma kutokana na allergic reaction za muda fulani,au wakiwa na tatizo la Sinus

– Kuwa na tatizo la nyama puani

– Misuli pamoja na nyama za koo na ulimi kulegea au kuwa dhaifu sana,

hali ambayo hupelekea kuanguka kwa nyuma sehemu ambapo hewa inapita

– Pia baadhi ya watu hurithi vinasaba vya tatizo hili kwenye familia

– Mtu kulala fofo au usingizi mzito sana

– Mtu kuchoka sana wakati wa kulala

– Unene

– Matumizi ya Pombe na Sigara ambapo huweza kupelekea kulegea kwa misuli ya koo

– Matumizi ya baadhi ya dawa kama dawa za usingizi n.k

– Mtu kulala vibayaa

– Kula vyakula vingi na vigumu sana wakati wa kulala N.k

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA JUU YA TATIZO LOLOTE TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

✚

Ushauri,Elimu,Tiba

Medical Consultation: Karibu afyaclass Kwa Ushauri na Tiba, Kama una Tatizo lolote la kiafya, tafadhali Wasiliana na Daktari moja kwa moja hapa || Call au Sms(+255758286584) au Whatsapp.

Je, unahitaji ushauri binafsi au matibabu ya tatizo lolote?

💬 Wasiliana na Daktari Hapa(Whatsapp)

🏆Certified| Doctor from Afyaclass. Maudhui haya ni kwa ajili ya elimu ya jumla ya afya. Unapohitaji ushauri wa kina, uchunguzi, au matibabu binafsi, wasiliana na daktari kupitia namba:+255758286584.Pia tufwatilie kupitia: @Facebook | @Instagram | @YouTube.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Guest Avatar

LATEST POSTS

Utafiti8 hours ago

Wanaume Wahimizwa Kupima Saratani ya Tezi Dume Kuanzia Miaka 50

Wanaume Wahimizwa Kupima Saratani ya Tezi Dume Kuanzia Miaka 50 Chanzo: CNN Health Mwandishi: Jacqueline Howard Tarehe: Novemba 12, 2026...

magonjwa ya watoto11 hours ago

Changamoto ya Ngozi Kwa Watoto,fahamu hapa

Changamoto ya Ngozi Kwa Watoto: Sababu, Dalili, Magonjwa Yanayoonekana Mara kwa Mara na Njia za Kuzuia Ngozi ni kiungo kikubwa...

Utafiti15 hours ago

Asilimia 63 ya Wauzaji wa Matunda Wanatumia Kemikali Kuchelewesha au Kuharakisha Kuiva kwa Ndizi na Nyanya

Wataalamu waonya kuhusu matumizi yasiyo sahihi ya kemikali katika kuiva kwa matunda, wakisema baadhi ya kemikali zinaweza kuwa na madhara...

WHO1 day ago

WHO yatoa Miongozo ya Kwanza ya Utambuzi na Udhibiti wa Kisukari cha Aina ya Kwanza kwa Watu Wazima

Shirika la Afya Duniani (World Health Organization – WHO) limetoa kwa mara ya kwanza miongozo ya kimataifa kuhusu utambuzi na...

magonjwa ya wanaume2 years ago

Madhara ya punyeto,Soma Hapa Kufahamu ukweli wa Mambo

Madhara ya punyeto,Soma Hapa Kufahamu ukweli wa Mambo Tabia hii imekuwa ikiwaathiri Wanaume Wengi kwa hivi Sasa,Je unazifahamu athari au...

magonjwa1 day ago

HPV ni Ugonjwa gani?,Fahamu hapa

Human Papilloma Virus (HPV): Maana Yake, Magonjwa Inayosababisha Na Athari Zake Kwa Afya Human Papilloma Virus (HPV) ni nini? Human...

Hospital1 day ago

Waziri wa Afya,amewapongeza watumishi wanne kwa kuokoa maisha ya mama na mtoto

Waziri wa Afya,amewapongeza watumishi wanne kwa kuokoa maisha ya mama na mtoto Waziri wa Afya, Mohamed Omary Mchengerwa, amewapongeza watumishi...

Ebola2 days ago

Ugonjwa wa Ebola ulivyoleta Athari kwa watoto DRC

Ugonjwa wa Ebola ulivyoleta Athari kwa watoto DRC Kufikia tarehe 4 Novemba, watoto 2,959 wenye umri chini ya miaka 18...

magonjwa ya wanawake3 days ago

Madhara ya kuvurugika kwa homoni za kike (Hormonal Imbalance in women)

Kuvurugika kwa hormone au vichocheo ni nini? Kuvurugika kwa hormone au vichocheo hutokea pale mwili unapozalisha homoni kwa kiwango kikubwa...

Hospital4 days ago

Muhimbili kufanya upasuaji wa kurejesha nguvu za kiume (Penile Implant Surgery)

Muhimbili kufanya upasuaji wa kurejesha nguvu za kiume (Penile Implant Surgery) Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila imeendelea kuboresha huduma za kibingwa...